Mkuuu, umeonaeeeeeh! Hakika vifaranga vyao vimekuja juu sanaMungu wa vifaranga na bavicha ametajwa
Nimekuwa nikisikia sikia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mh.Freeman Mbowe ni form six tu hana stashahada wa shahada yoyote, wakuu kama hiyo ni kweli basi jamaa ni kichwa tena ni next level,kwa sababu: 1.Ameweza kuongeza wabunge ndani ya CHADEMA tena akishindana na wasomi kutoka CCM na vyama vingine ambako kuna maprofesa na ma 'first class' wengi . 2.Amekuwa na uwezo wa kuongea na wananchi na akaeleweka kirahisi,mfano;ana uwezo wa kuitisha maandamano kirahisi sana kuliko kiongozi kutoka CCM na kwingineko, wakati hao wa vyama vingine wana elimu kubwa mno ukimlinganisha na mbowe 'six leaver' 3.Ni kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani Tanzania tena ni KUB, na kwa kweli CHADEMA imefanikiwa kujitangaza sana kwenye kipindi chake. kwa sababu hizo inaonesha kuwa uwezo wake ni mkubwa,na ukilinganisha na elimu yake ya form six (kama ni kwel) ni inversely proportional, yaani ana uwezo mkubwa kuzid elimu aliyonayo, jamaa ni bonge la 'genius', yaana anashndana na maprofesa? six leaver?
mbona kila ushauri anaotoa bungeni hata hili la katiba unakubaliwa?Jk ana elimu cheti tu, usimsifu, unafikiri ukikaa na Obama ndio yeye anakuona una akili sana, akilini mwake anakupambanua na anajua wazi wewe ni stupid, but, hatokuambia
Nimekuwa nikisikia sikia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mh.Freeman Mbowe ni form six tu hana stashahada wa shahada yoyote, wakuu kama hiyo ni kweli basi jamaa ni kichwa tena ni next level,kwa sababu: 1.Ameweza kuongeza wabunge ndani ya CHADEMA tena akishindana na wasomi kutoka CCM na vyama vingine ambako kuna maprofesa na ma 'first class' wengi . 2.Amekuwa na uwezo wa kuongea na wananchi na akaeleweka kirahisi,mfano;ana uwezo wa kuitisha maandamano kirahisi sana kuliko kiongozi kutoka CCM na kwingineko, wakati hao wa vyama vingine wana elimu kubwa mno ukimlinganisha na mbowe 'six leaver' 3.Ni kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani Tanzania tena ni KUB, na kwa kweli CHADEMA imefanikiwa kujitangaza sana kwenye kipindi chake. kwa sababu hizo inaonesha kuwa uwezo wake ni mkubwa,na ukilinganisha na elimu yake ya form six (kama ni kwel) ni inversely proportional, yaani ana uwezo mkubwa kuzid elimu aliyonayo, jamaa ni bonge la 'genius', yaan. well said brother.
Kweli kaka elimu siyo uongozi bali ni karama kutoka kwa Mungu,kwani tuna maprofesa wangapi ambao hawajitambui na mielimu yao siye tunachotaka ni uchapa kazi elimu ya mtu haitusaidii mathalani awe anajua kusoma na kuandika!Mimi nina Masters mbili za sheria, lakini hata nikiziweka jamvini zitakusaidia nini, mimi siyo mwanasiasa ila kuweka ya Mkulu wa CDM ni muhimu kwani ni kiongozi wa watanzania wengi tu.
Namba 1. Aliyeongeza wabunge ni SLAA
namba 2. Kuwa na uwezo wa kutisha maamndamano ni sifa ya kiongozi bora?
namba 3.nani wa ksifiwa kwa kuwa KUB, Mbowe mwenyekiti wa chama Taifa au Hamad Rashidi ambaye hakuwa na cheo chochote kwenye chama? CDM imejitangaza kipindi cha MBOWE kwa sababu ya Katibu mkuu SLAA kuwa nyota ya kukubalika kipindi hicho na siyo vinginevyo.
Kwa kifupi, hoja ulizozitoa kama vigezo vya MBOWE kuwa genius ni hoja hafifu sana, labda kama haujui genius ni mtu wa namna gani.
Kweli kaka elimu siyo uongozi bali ni karama kutoka kwa Mungu,kwani tuna maprofesa wangapi ambao hawajitambui na mielimu yao siye tunachotaka ni uchapa kazi elimu ya mtu haitusaidii mathalani awe anajua kusoma na kuandika!
Mbowe na kelele zote zile kumbe ni Form Four Leaver?!!!
Nimemdharau kweli yani. Fursa ya kusoma alikuwa nayo, sasa kwanini aishie kidato cha nne?
Umejaribu kuzikana point zangu zote, ok labda nikuulize ni form six leaver gani aliyejiingiza kwenye siasa(ktk kipnd hiki cha wasomi wengi) alafu akang'ara,kusikika na kukubalika kama mbowe? we hushangai six leaver gani mwenye uwezo kiasi hicho? hivi ukisikia mtoto wa darasa la 2 au 3 amesolve swali la trignometric au calculus hutashtuka? hebu iangalie elimu ya form six alafu mwangalie mbowe, you note nothing different brother? hebu vua hiyo miwani, then you'll see., Tchaooo...