MZABIBUASILI
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 287
- 38
Unaweza ukasoma lakini usielimike.
Labda Katiba mpya isisitize mgombea urais awe na shahada angalau moja kutoa vihiyo
Naomba kujuzwa Curriculum Vitae(CV) ya Mheshimiwa Mbowe.
Naomba kujuzwa Curriculum Vitae(CV) ya Mheshimiwa Mbowe.
Naomba kujuzwa Curriculum Vitae(CV) ya Mheshimiwa Mbowe.
Naomba kujuzwa Curriculum Vitae(CV) ya Mheshimiwa Mbowe.
nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Tanzania na nimegundua hata huu umasikini tulionao ni matokeo ya siasa chafu na nyepesi. Hivyo nimejenga utamaduni wa kujua historia za kielimu na kijamii za viongozi wa vyama vya siasa ili niweze kupima kauli zao kulingana na historia hizo hasa ELIMU. Ambae ana CV ya Mbowe anipatie tafadhali nimjue vizur kiongozi wangu.