Wasichana wasichana ugali tu

c ndo hapo! Wanakaa kutusema tu! Oh kitandani zero,mapishi hamna ,hee! Kama unanipenda nifundishe hutaki UTAKULA WALI WA CHUYA!

Umenichekesha eti atakula wali wa chuya so hata kupembua chuya nako ni tatizo kubwa
 

Ni kweli jamani lakini sasa unajua katika life, especially la kibongo au kiafrica kwa ujumla kuna vitu vidogo vidogo abavyo ni very basic na ni muhimu sana kwa mdada kuvijua kama kweli anataka kuwa mke bora na kitu kimojawapo ni kuusonga ugali jamani. Sasa kama tunakutana mume na mke wote hatujui kusonga/kupika, we unafikiri mtu wa kwanza kati yetu watu kumshangaa kama si kumcheka ni nani? Jibu nadhani unalo
 

Bravoooooo
 
...hata kuoga siku hizi taabu kweli... fungus wanawala
wanawasumbua kweli ... mwanamke kutwa nzima umbea tu...
 
Sasa we mdada unataka unilishe mahanjumati, machipsi, sijui manini mengine...at the same time unataka ni perfom kunako bed......nipikie ugali kama wataka vitamu
 
Kama hakuna ugumu kupika ugali si upike mwenyewe?

ooooohhhpppss,...... sample hizi ndo huwa zinanifanya nifikilie mara mbili mbili juu ya hawa viumbe pindi watapoanza kutoa majibu kama haya ndani ya nyumba , si itakuwa majanga. hakika kuna vitu vidogo vidogo mie ndo nimeona huwa vinawakwaza hawa watu
 
nendeni shule ya mapishi mbona mnakwenda driving school

hakika kinachotolewa hapa ndiyo majibu harisi tunayokutana nayo ndani ya nyumba, hakika mie ntarudi kwenye vigezo vya kina babu na bibi , kwani dunia xaxa imekuwa tambala bovu.
 
I like cooking na mojawapo ya vitu
nijuavyo kupika ni Ugali ingawa kula siupendi.....

Nakumbuka enzi mama angu ananifundisha kupika

ugali niliwahi kujua kuupika.......
hongera kwa hilo kwani umefanya vema ku declare interest yako kw umma, lakini wengine mpaka kukata kucha zake tu hawezi mpaka aweke kwa wale jamaa wa kitaa wamshugulikie.
 
hongera kwa hilo kwani umefanya vema ku declare interest yako kw umma, lakini wengine mpaka kukata kucha zake tu hawezi mpaka aweke kwa wale jamaa wa kitaa wamshugulikie.

Thats me,wengine ndo hivyo tumetofautiana maisha

na wengine wanaweza kuwa na u fake mwingi.......
 
Ukibishana na midada ya humu utapata tabu nataka kujua mama zao hawajui kupika? Mbona wanajua na wamesoma na wengine walikuwa mamodol wazuri tu eti yanajishauwa chipsi kuku ndio maana hamuwezi kudhibiti waume zenu kila siku mnalalamikia nyumba ndogo lazma ile kwenu tu hamjitambui, kazi ni kuweka makucha kama majini mume akienda pembeni kimepikwa na kinanukia akija hm kashima mana atakuta vituko mezani, jiangalieni msidhani ndoa za wazazi wetu zimedumu kwa sex tu
 
Wanawazingua tu, hawa wanawake ni wapishi wazuri sana wa ugali, na jinsi walivyowabahili hivi! Ukiwakuta akina lara 1, Kaunga na King'asti wanakata bondo mpaka wewe mwenyewe hutaamini!
 
naona watu wanatoa machungu yao ya vyumbani,ikiunganishiwa kutoka jikoni,
toba!
tiririka tiririka
 

mzee unahasira! Utaua mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…