King'asti kwani na wewe huju kupika ugali jamani?Kama hakuna ugumu kupika ugali si upike mwenyewe?
Siku hizi mnaoa wake au wapishi??
Napata hofu kidogo baadhi ya wasichana hasa wa mjin mpaka kufikia umri wa kuolewa lakin hawezi kupika ugali tu.Dada zangu kuna ugumu gani kupika ugali,kijijin hata mtoto wa kike wa darasa la tatu anapikia familia ya watu watano na kuendelea mjini kazi ipo unakuta binti kafika mpaka chuo Kikuu kupika hawezi.nini tatizo jaman
wi meri bothSiku hizi mnaoa wake au wapishi??
Siku izi hta kusugua miguu na viganja hawawezi, mpaka wapaaswe na wauza urembo.
Ndo mana mbunye zinanuka ka panya.