Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
Napata hofu kidogo baadhi ya wasichana hasa wa mjin mpaka kufikia umri wa kuolewa lakin hawezi kupika ugali tu.Dada zangu kuna ugumu gani kupika ugali,kijijin hata mtoto wa kike wa darasa la tatu anapikia familia ya watu watano na kuendelea mjini kazi ipo unakuta binti kafika mpaka chuo Kikuu kupika hawezi.nini tatizo jaman