Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
Na hao madwmu ote wamo humu?
Hahaha. Nimecheka kama mazuri. Namtafuta mhenga aliesema kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari. Ubarikiwe sana, watu wachache sana wenye mtazamo chanya kama wewe. Wengi wanaishia ooh anatembea na mabosi wake, gari kahongwa hana lolote na maneno mengi ya hasira.
Pambana na hali yako braza
Mkuu yn ayo maneno uliyoongea ww ni km unanisema mm hv hahaha.....yn mpk leo najiona nlikua sahihi kbs kuwaacha maana wangeteseka sn na mm....ss apo kwny smart phone na kitambi daah ni mimi mtupu
Labda ungekuwa nao wangesababisha mabadiliko flani kwenye maisha, mambo yakawa mazuri
Kitambi na smartphone
Kwangu, nawapongeza zaidi walioniacha.
Walifanya maamuzi sahihi sana.
Ni ma-visionary.
Sio kidogo.!
!
Wangefeli