Wasichana wangu wa zamani, ilikuwa sawa sana tukaachana. Kwa udananda huu mngefeli pakubwa

Mwanangu we mkweli hadi unakera!!
Agatha yupo sehemu salama kuliko angekua nami sahizi.
Nashukuru huko aliko yuko happy.Sikumstahili hata kidogo

!
!
Acha tu mzee imebidi aisee. Nawaona na mahubby wao wako so happy life good dah mimi sasa on contrary, aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom