Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
Nichukue fursa hii kuwapongeza sana kwa hatua ambayo mmepiga.Nafahamu jinsi mlivyoumia wakati nasitisha mahusiano nanyi kwa sababu ambazo hazina msingi wowote.Mlilialia mno pengine hamkulala vizuri kwa siku kadhaa lakini mwishowe mlianza upya.
Dunia siku hizi ni kama kijiji, habari zenu huwa nazipata kupitia kwa watu au hata social media.Niwaambie tu niliwasaidia sana kwa kuwaacha.
Zile mbwembwe zote za kesho itakuwa hivi na vile kushnehi. Huenda mlikuwa na taswira ya nitakuwaje ikifika mwaka huu, iko tofauti sana.
Mko na maisha poa sana kuliko ambayo ningeweza kuwapa.
Zaidi ya kitambi na smart phone, vijeans viwili vitatu na four angle zangu sina jipya sana.Naweza kula kulala okey pesa ya bia mbili tatu ipo lakini wengi wenu mna maisha mazuri zaidi.Hamuwezi amini kuwa kuna muda natamani kurudisha muda nyuma.
Nabaki na ningejua.Ningewachelewesha mno aisee. Hongereni sana.
Niwadediketi if I had one wish.
Siku njema