Wasichana wangu wa zamani, ilikuwa sawa sana tukaachana. Kwa udananda huu mngefeli pakubwa

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,223
7,993
Nichukue fursa hii kuwapongeza sana kwa hatua ambayo mmepiga.Nafahamu jinsi mlivyoumia wakati nasitisha mahusiano nanyi kwa sababu ambazo hazina msingi wowote.Mlilialia mno pengine hamkulala vizuri kwa siku kadhaa lakini mwishowe mlianza upya.

Dunia siku hizi ni kama kijiji, habari zenu huwa nazipata kupitia kwa watu au hata social media.Niwaambie tu niliwasaidia sana kwa kuwaacha.

Zile mbwembwe zote za kesho itakuwa hivi na vile kushnehi. Huenda mlikuwa na taswira ya nitakuwaje ikifika mwaka huu, iko tofauti sana.
Mko na maisha poa sana kuliko ambayo ningeweza kuwapa.

Zaidi ya kitambi na smart phone, vijeans viwili vitatu na four angle zangu sina jipya sana.Naweza kula kulala okey pesa ya bia mbili tatu ipo lakini wengi wenu mna maisha mazuri zaidi.Hamuwezi amini kuwa kuna muda natamani kurudisha muda nyuma.

Nabaki na ningejua.Ningewachelewesha mno aisee. Hongereni sana.

Niwadediketi if I had one wish.

Siku njema
 
Hahaha. Nimecheka kama mazuri. Namtafuta mhenga aliesema kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari. Ubarikiwe sana, watu wachache sana wenye mtazamo chanya kama wewe. Wengi wanaishia ooh anatembea na mabosi wake, gari kahongwa hana lolote na maneno mengi ya hasira.

Pambana na hali yako braza
 
Hahaha. Nimecheka kama mazuri. Namtafuta mhenga aliesema kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari. Ubarikiwe sana, watu wachache sana wenye mtazamo chanya kama wewe. Wengi wanaishia ooh anatembea na mabosi wake, gari kahongwa hana lolote na maneno mengi ya hasira.

Pambana na hali yako braza


!
!
Kwa kweli ningewachelewesha mno watoto wa watu
 
Mkuu yn ayo maneno uliyoongea ww ni km unanisema mm hv hahaha.....yn mpk leo najiona nlikua sahihi kbs kuwaacha maana wangeteseka sn na mm....ss apo kwny smart phone na kitambi daah ni mimi mtupu


!
!
Tupo wengi mzee. Yaani nawaona tu Instagram wako na hubby zao huwa nacheka sana nikijilinganisha
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom