Wasichana /Wanawake wenzangu

Nishaanza kupaniki,

Kuna mjinga karopoka hilo neno

""Eti kutafuta huyo mke zama hizi, ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi""

Yeye alichoshauri ni kwamba bora uoe tuu ukiwa hutarajii hayo mambo, kama ni silka yake hujikuta muhusika huyafanya yeye hata bila kujua.


Akasema yeyote anayeyafanya hayo kwa kujitambua hua tabia hiyo haidumu.

Na kibaya zaidi watakao muona ni majirani zako na hata wewe kwa kulewa na upendo utakaopewa, utajikuta ukihisi kuwa ni wajobu wake kukufanyia hivyo, hapa wanaune wanaobahatika kuwapata hawa hufikiri kuwa wanawake wooooote wako hivo na hujivunia uanaume zaidi kuliko kutimiza majukumu kama baba.
 
vipi kungwi ushaolewa au bado?! na kama bado je? upo tayari kuolewa na mimi? naomba jibu tafadhali
 
Ushauri mzuri kweli kweli,ila wewe mwenyewe unaufuatilia kweli?
Huu ushauri umewasaidia watu kwa asilimia ngapi?
Je wewe mwenyewe huu ushauri umekusaidia?

Nimeuliza hayo kwa sababu every action imposed to people has different responce.....
mkuu mi nadhan kushika neno n busara zaid no matter hyo mtu anae toa hilo neno n mzur/mchaf kias gan
 
Mleta maada kaitoa kwa ujumla wake bila ubaguzi wa kdini


1 wakorintho 7:14
"Kwa maana Yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe,na Yule mke asiye amini hutakaswa ktk mumewe,kama isingekuwa hivyo,watoto wenu wangekuwa si safi,Bali sasa ni watakatifu"
 
NATAFUTAGA WA AINA HII . UMEOLEWA WEWE.......? NI- PM
 
Mkuu naunga mkono hoja hasa kwa mifano uliyotolea!
Kwa upande mwingine mke ni kama mama maana anamchango mkubwa sana katika kuleta amani na furaha ya familia pamoja na ustawi kwa ujumla.

Mi kuna Senior mmoja kazini kwangu he is about 50 yeas old huwa nafurahia sana hata tu ile namna anavyomwita mke wake hata akiwa anaelezea incidence inayomhusu huwa hasemi sijui mama fulani au mke wangu badala yake huwa anasema mama. Mfano anaweza kusema " kuna siku nilikuwa naenda safari fulani nikiwa na mama ........" Hii inaonesha anampenda na anamkubali na kiukweli hata kimaendeleo yuko successful.

Huwa namwomba sana Mungu anioneshe yule ambaye tutaendana naye!
 
Aisee wapo, mfano mzuri ni mke wangu. Hivyo vigezo vyote anavyo na sifa zingine nzuri ambazo hakutaja. Maisha swafi kabisa.
Hongera sana mkuu!
Ni kweli bado wapo ila wamepungua sana na pengine wako hatarini kupotea kama mnyama faru japo wenyewe hawawindwi na majangiri!
 
Kwani wote wanaamini katika Mungu??
Na siku hizi dini zimejawa na wanafiki sana! Mtu kutwa kucha yuko kwa kusali lakini moyoni hana upendo kabisa! Dini ya kweli matendo ya mtu!
Na huwezi kujua imani ya mtu kwa Mungu ila wengi tunapima imani kwa frequency ya kuattend sehemu za ibada et ndio tunasema mtu yule mshika dini!
Kuna watu wengine akiona anatafuta kitu fulani anajifanya anashika sana dini hata miaka mitano inaweza kupita anajifanya mshika dini kumbe ana moja kichwani na wengi hapo watajidanya kuwa huyu mtu amemrudia Mungu kumbe anatumika kwa kutaka kuwapoteza walio na macho ya kibinadamu! Na akishapata kile alichokuwa anakitafuta utaanza kuona frequency ya kuattend na kushiriki shughuli za kiibada zinaanza kupungu.

Mwenyezi Mungu kwa kweli atusamehe maana watu wengi sana wanajivisha ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu!
 
Wapo wengi tu, sema wanaume wanaolalamika sana huwa wanakutana na wa kufanana nao, hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Wanasahau kuwa unapewa wa kufanana nawe.
Sio kweli mkuu kuna watu wapole mpaka unamwonea huruma anavyohangaishwa na mke wake tena mke anajidai kabisa kwa kusema kuwa ameshamteka hawezi kufurukuta kumbe ni mtu kuwa mwelewa na uvumilivu tu.

Lakini pia ikumbukwe kuna watu wanajua kupretend pale anapokuwa anatafuta kuolewa anaweza kufanya pretending hata kwa miaka sita ila akishaingia kwenye himaya ndio anaonesha makucha! Kuna wengine wapole kwa sababu wako weak either economically au kitu fulani hana ila kadiri mnavyoendelea kuishi na kupata mafanikio ndio wanaanza kuonesha jeuri! Hujawahi kuwaona/kuwasikia hao?
 
Bado tu huoni udhaifu wa huyo mwanaume ulomdescribe katika maelezo yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…