Wasichana,wanawake sio watu...eeh...mtatuua

Wasichana,wanawake sio watu...eeh...mtatuua

..Nina zake wallaaah...mchumba kumbe MALAY.A mkuu...mwalimu wa kujiuza...ILA MPOLEEEE...wa diniii...lugha ya heshimaaa...kumbeeeeeeee....oooohhh...nina zake huyuu...!!!
 
Vipi Mr. President...Vijana wanamshugulikia First lady??..Kweli vijana hawana adabu....anyway..jichunguze kwanza...inawezekana uko busy sana na maswala ya siasa kuliko familia yako..
 
wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani......kuchapwa watachapwa tu......ila basi wachapwe kwa siri/heshima na heshima iwepo
 
Acha hasira ongeza juhudi, atatulia tu. Kwa bed sifuri, underground wakikusaidia unataka kuua.
 
Watu wanatakiwa wajifunze maisha ni kitu gani hasa

Hakuna maisha ya pande moja
Kama unataka kuishi maana yake unatakiwa ukubaliane na pande zote na sio moja

Kupata na kukosa ni pande mbili za masiha
Kupendwa na kutendwa ni pande mbili za maisha

Kama hutaki haya maana yake hutaki kuishi kwasababu hayo ndio maisha!
 
hivi kuzimu ni wapi wakuu?

kuzimu na jehanam kuna tofauti gani aiseee?
 
Hahhhhhahhhhhahhhhhahhhhhhahhhhhhhahha punguza hasiraaa mkuu
 
C unaona ana jazba tena anatafuta hela anunue pistol,au ana allergy na mbunye
 
Back
Top Bottom