Wasichana,wanawake sio watu...eeh...mtatuua

Wasichana,wanawake sio watu...eeh...mtatuua

Ukisikia paaah..ujue limempata, mlengaji na shabaha, hakufanya makosa....pole mkuu wa nchi. Hauko mwenyewe hapo unatuwakilisha tu, wahanga ni wengi.
 
isije ikawa tatizo ni lako mr prezidaa. jaribu kutafuta chanzo cha tatizo usikimbilie bastola. mwenzako pitr...anajuta
 
Wewe kaa chini liaaaaa badae futa kamasi na machozi nenda BAR kaharibu uchumi kiaina ukiwaendekeza hao utakonda kwa mawazo kisha uje umiliki presha bure.
 
hasira at work... come down Mr. President relax have mission and vision then make goals., put into action .. yes she cheat on you but how many times u cheat her? after u get that answer ...... think and think again
 
..Mmhhh...hapana, ngoja niandae bastola ikae standby..
...Mmmhhh...uongo 10000%...michepuko 1000%...
...Dawa yao ni KU UFOO SAROOO tu...wewe ngoja...nop..

Na mama yako pia umemweka humo au yeye si mwanamke? Kama na yeye ni mwanamke we ulitkea wapi kua mtu wakati umezaliwa wakati aliyekuzaa sio mtu?
 
Back
Top Bottom