HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Mhhh hongera kwa kupendwa, sidhani kama ni jambo baya kupendwa, ila usitumie utashi huo kufanya mambo yasiyofaa au uhuni. Kwa wale ambao moyo wako haujafikiria kuwa nao kimapenzi waambie ukweli, usiwachezee mwisho ukawaacha. Hilo si jambo zuri mbele za wanadamu na mbele za Mungu as well.
Endeleza ugumu!
Endeleza ugumu!