Wasichana wananipenda kupita kiasi

Wasichana wananipenda kupita kiasi

Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Unanyota ya ukimwi
 
Mpaka tukifika Oktoba mwaka huu huyo Raisi ajaye ana kazi kubwa sana
 
Acha kujifurahisha dogo kwa tamathali za semi. Tafuta pesa u HB haujengag mahekalu kama yaliyoko mbezi beach weka uHB na kushobokewa pembeni fanya pesa ikushobokee kwa karibu.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Haaaaaaa wew mjinga kweli mwanaume unajifagilia kuwa mzuri badara ya kujifagilia kuwa umeondeza kiwanja.kingine? hiv shule bado mjafunguwa tuu? duh
 
acha kutuaibisha wanaume wenzako, wewe ni wa Dar nini? mambo mengine sio ya kuomba ushauri tumia akili:A S-frusty:
 
cha ajabu kila mwanamme JF ni HB....inaelekea wasira niko mwenyewe
 
watoto wa primary na secondary form II B ndio wanaitana handsome
 
Dogo angalia sana_maake hizo tabia sio nzuri...eti una macho na sauti nzuri....chunga sana mienendo ya mawazo yako..otherwise wazazi wako utawaliza muda si mrefu

Mmmh huyu yupo kazini haiwezekani mwanaume akaongea hayo.
 
Back
Top Bottom