Wasichana wananipenda kupita kiasi

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
 
Kweli Bebi unavyo sema weka picha tukuone manake unajifagilia sana macho mazuri na sauti nzuri sio kigezo hata kidogo, wanakuita HB sio Hand someboy bali ni hewala bibi....
 
kweli bebi unavyo sema weka picha tukuone manake unajifagilia sana macho mazuri na sauti nzuri sio kigezo hata kidogo, wanakuita hb sio hand someboy bali ni hewala bibi....
aweke na sauti bwana tusikilizie izo swaga hapa loh? Tuone kama na sisi zitatuvutia
 
yaani post zingine unaweza kuzimia kabisa aisee khaaaaaaaaa

Yaani huyu nae katika kundi la wanaume naye yupo na anajisifia kabis akuwa yeye ni mwanaume
Mwanaume hasifiwi sura wala sauti ndugu nenda kajifunze qualification za mwanaume urudi hapa kuja kupost ulichopost
Sijui sasa unataka tukushaurije eti dada alikuwa kwenye daladala akaforce kuja kukaa na mimi eti kisa HB
sasa hapo sisi tukusaidieje
 
hongera.kwahiyo plan yako ni nini?umeshachoma wangapi?kama kuongea nao tu unaogopa je wangekuwa wanakugongea mlango usiku si ndo ungepagawa?mkuu hiyo ni hali ya kawaida tu.naomba uizoee.mia
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
Dogo angalia sana_maake hizo tabia sio nzuri...eti una macho na sauti nzuri....chunga sana mienendo ya mawazo yako..otherwise wazazi wako utawaliza muda si mrefu
 
Back
Top Bottom