Wasichana wananipenda kupita kiasi

Wasichana wananipenda kupita kiasi

Nenda kawaombe ushauri mateja na uwaeleze yote hayo,wanaweza kuibadilisha sura yako ikawa ngumu kama jiwe,hatimaye na wewe ukaitwa mwanaume.
 
mwana nimependa bandiko lak o ...mimi mwenyewe kuna siku niliambiwa niweke picha yangu nikaweka ....watoto wa hapa JF walinikubali ile mbaya ...hadi sasa hivi wananikubali ile kinoma..wewe fanya hivi ..weka picha yako hapa tuwamalize kabisa.

hahahaaaa....!!mkuu wewe ni moumer.hebu weka tena ile picha tuone!.,nyie wote mpo juu.mia
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
bob weka picha bhanaa...cheki kimwana huyu hapa anakuuliza

mmmh.......... jamani. how old are you?
 
hahahahaaaaaaaaaaa!!!!!! iwe mawee in fact kwakweli nenda mombosa ukauze sura

kabisa inatakiwa aendo huko, ukitoka kituo cha horoho tanga kuingia mombasa kuna mahala panaitwa MWEMBE TAYARI nafikiri hapo panamfaa
 
JF is never boring ~ The Boss

rejao umeonaee! Ndio maana tukichoka kulumbana kule jukwaa la siasa kati ya magamba na magwanda huwa tunahamia kwenye majukwaa haya ya social kurefresh mind sometimes.
 
Wala hawakupendi.Wanakuona wewe zuzu na wakikukamata ujue umeshakuwa ATM machine
 
we kaka taratibu bwana... utaitwa aunt muda si mrefu
wazee wa mombasa
 
mmmh.......... jamani. how old are you?

umri wa nini unauliza wewe? Hujui mtu anweza kuwa na miaka50 lakini ubongo/akili zake zina miaka 15? Funguka, si kila mwenye mvi anabusara,najua pia busara haizidi hekima.
 
Back
Top Bottom