Toa hela bwana we, usituchoshe.
We enzi hizo ulikuwepo? Kama ulikuwepo na mpaka leo unatongoza basi wewe ndio mwenye shida sio hao wanaokupiga mizinga, na wakupige tu kwakweli.
Zile methali kale ndo zimefikia mahala pake kuwa most applicable... "Mtaka cha uvunguni sharti ainame" na Jakaya alisema, "ukitaka kula sharti nawe ukubali kuliwa"
Toa hela bwana we, usotuchoshe.
We enzi hizo ulikuwepo? Kama ulikuwepo na mpaka leo unatongoza basi wewe ndio mwenye shida sio hao wanaokupiga mizinga, na wakupige tu kwakweli.