Unakuta msichana mzuri anavaa kinguo kama yupo chumbani na mpenzi mpaka wakati mwingine anatembea anaona aibu, kwani nani anataka kuona hivyo vipaja vyenu vibaya, acheni kuiga kila kitu kutoka kwa wazungu hapa mpo afrika.
Teh teh teh, Kongosho upo?Mkiwa afrika wanatakiwa waweje?
Na mapaja mabaya kwa kigezo cha macho ya nani?
Katizame warundi au wakongo basi
Africa inabidi wadada wasivae nguo kabisa. Wajisitiri tu hiyo sehem ya katikati! Kuvaa nguo ni kuwaiga wazungu!
Mkiwa afrika wanatakiwa waweje?
Na mapaja mabaya kwa kigezo cha macho ya nani?
Katizame warundi au wakongo basi