Wasichana wa Kingoni.....

Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?


:faint2::faint2: nina wasiwasi na uraia wako wewe kama Mtanzania hili sio swali katika muktadha wetu kwani unaongelea ukabila sasa,huyo binamu yako kakwambia anaoa kabila ua mwanamke..mbona unatuchanganyia habari...hilo swali kawauliza nchi za za jirani watakusaidia...SAWAAAAH...!!!!
 
Hii habari ya mauno aliyoisema miss chaga ndo imekufanya umsalimu..?? Unayajuwa lakini..??
Hii post ilinipita siku kadhaa ila em nikujiuliza. Mauno apa ndo chooni. .lol.mambo vipi Lakin
 
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!

we jamaa sio le mutuz kweli?
 

Nadhani uko sahihi kabisa nimeyapenda maelezo yako, ila wana kasoro moja kubwa. Ikitoea akawa na shoga mbovu ila yeye akawa haelewi kwamba shoga yake ni mbovu, utajuta kuzaliwa maana akishakuwa na rafiki yake anayemwamini kuja kumtoa pale inakuwa ni issue. Omba awe na marafiki wale ambao ni wazuri tu, that way you will enjoy life. Wana roho ya ubinadamu kutoka ndani ya mioyo yao.
 
jamani tabia haina kabila. kila kabila lina sifa zake, lkn sikweli kwamba watu wote kwenye hilo kabila wapo hivyo. we ukitaka kujua sifa za huyo msichana chunguza kwa majirani, aliposoma na kzn km anafanya kzi. unapotaka kujua sifa zao wasichana wakingoni kwani unawaoa wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…