Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
kwamba kalio zao azishikiki?
Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?
basi naomba ubaki chalinze tu ndo panakufaaa
nini tena nisimsifie mwenzangu acha wivu
Huwa unakatikiwa?
du kadoda hiki chingoni cha mgati kabisa niyelewi hee!!!haki ya nani bambo Deo Corleone unihekisi kweli na madongo kagu.nanene niyonjochokesa,dola nyina kwa vandu voha vala ambao huvalongelela vibaya dada vitu va kingoni.
We mtata, aendelee kubaki Chalinze ili aendelee kuitwa babu.......
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!
ni kweli lakini yeye ameulizia tabia zao common...wana jf kwa kujibu out of topic hamjambo...wengi wao ni wafupi kama Waluguru
shemeji mambooo