miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
hahaaa! Hapo utan sasa.
Ni vile !! vandu vipa ukorofi sana.Ne nivaliga tu vakajovai kwa Invisible.Pa madaku gake!!
wewe nawe!wanajua kukata kiuno
wanajua kupenda
wewe nawe!
waswahili wanasema aisifuye mvua imemnyeshea. chacha wewe miss chagga unasifia wenzio kukata viuna umewatarai?nini tena nisimsifie mwenzangu acha wivu
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!
hata sitanii mkuuu nipo serious
mimi ni shemalewaswahili wanasema aisifuye mvua imemnyeshea. chacha wewe miss chagga unasifia wenzio kukata viuna umewatarai?
kama jibu ni ndiyo je una jinsi mbili au hilo ni jina tuu?
Hapo ndo ndo nilipochoka
lakin nijuavyo mm huwa hamna maneno mengi watu kama nyinyi bali mnakuwa kivitendo zaid
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!
shughuli yake mpaka utoe dawa ya jicho
mi ni mngoni mkuu, hawa
dada zangu wana tabia zifuatazo.,1.hawana makuu na hukubali kuwa chini
ya mume. 2.sio wavivu. 3.wanajali ndugu na marafk wa mume(wakarimu).
4.wanamwamin sana mume kifupi hafanyi chochote mpaka umwambie afanye.
5.wengi wao sio wasomi. 6.usitegemee kudai chochote ukiwafukuza kwako.
7.ni wamama wa nyumban,sio watu wa mishe, wanamtegemea mume. 8.chochote
utakachosema/kumwamuru atatii. 9.wana ugonjwa wa kupenda, yaani
wanapenda hadi inakera. 10.akiolewa urafiki na ndugu zake unapungua
sana,atawapenda sana ndugu wa mume. kifupi hivyo.
kusi akili mwenuyo mlongo vangu,avi ngati lilibwa nah!
mmmmmh! Hapo umeniacha chalinze
Wanapenda sana ngono! Na wanayajua mambo kweli! Ila makalio yao wengi ni magumu sana! Ndo hayo tu kwa sasa!