Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
MwaAfirika (in general BLK/WHT) anabaguliwa hata kwenye sahani ya mloo!! Ana hiyari kwenda kufa baharini huko Mediterenean Sea kwa kukimbia ubaguzi nyumbani kwake na kwenye uzalendo wake!! Mtu anakubali azame maji kulikoni!!! Wewe mwenyewe Comment zako ni za kibaguzi na uchochezi wa kidini... Yaani umeshajiaminisha wewe ni wewe kwa kujalizia kejeli kataika uzi wowote unaochangia. Ufanyavyo hivo unadhihirisha ubaya na mafunzo ya Mungumtu wako!! You are taught to hate and to abuse , your hand is full of BLOOD. Jiheshimu uwe kama wenzio wenyekutii mafunzo ya Bw.Yasu3.Hata hapa Tz Wakija wanubi kuishi nanyi mtawabagua tu manake ni wagumu weusi asilia...
Binadamu wote ni Wabaguzi... hapa Duniani... Tunasoma hata kwenye vitabu vitakatifu Weusi walilaaniwa baada ya ghalika ya nuhu uzao wa mtoto mmoja wa Nuhu kumcheka Babake akiwa amelewa na akicheza cheza uchi...
Mwamedi alidiriki kusema Shetani anafanana na mtu mweusi.... Black haitakaa sawa hadi iwe nyeupe... Michael Jackson alikubalika baada ya kubadilika na kuwa mweupe.. alipendwa kote hadi huko china na india hadi leo hii anapendwa ... kama hamtaki kubaguliwa mkorogo ndio dili...
Siyo wote... wapo watu wanaoishi pamoja kwa kushirikiana, kwa kukaribiana kijamii. (don't generalize Bhana) vidole vyote haviko sawa!! Badilika na jirekebishe kimawazo!! hakuna aibu kurejesha hasira zako.... Always utakuwa bingwa ukikubali ya wenzio...., Hadhi njema kwa binaadamu mwema.AminHakuna wanaoongoza kwa ubaguzi kama waislamu binadamu mwenzio huwezi kumuita kafir kisa siyo muislamu.
Bravo !! Bibicool God bless you... Your honor una busara na hekima za kibinaadamu uliyo karimiwa na Mwenyeezi Mungu. kind thanx.binadamu wote tuna hulka ya ubaguzi, nakumbuka wakati nasoma ulaya enzi hizo alikuja mwafrika mwenzangu kutoka nchi fulani sitaitaja, huyu mwafrika nilimpokea na nikamsaidia kwa mambo mengi tu, baada ya kumjua kwa miezi 6 akaja his countrymate mi nikajua atafurahi kumbe wanachuki za kikabila mimi bila hiyana nikampokea huyo countrymate wake ila yeye alikasirika kaniambia kabila lao ni wabaya sana nikamwambia nitamjua tu kama ni mbaya ila kwa sasa siwezi acha kumsaidia kumuonnyesha njia na mengineyo. then huyo mwafrika aliyemchukia his country mate akaja kubaguliwa na wazungu kwenye restaurant akaja kwangu amekasirika kwamba wazungu ni wabaguzi sana hawatupendi watu weusi, nikamwambia mbona hawana tofauti na yeye? maana hata yeye amembagua his countrymate kisa kabila lake. nikamuwambia aanze kupenda kila mtu wala hawa wazungu hawatampa stress.
Hahahahaha mimi huwa
siwaelewi ila nilikua nikiona wanaziba pua ndo nawasogelea na kujifanya
bus limenisukuma.Obama amesaidia kwa kiwango flani kwani wengine
wakikuona wanadhani umetoka kwa Obama lol.
Kama wachina rangi yao ya kujivunia kwa nini wanachichubua ngozi ili waonekane kama rangi ya wazungu? Wasichana wengi wa nchi za Asia iwe china, na nchi nyinginezo wanachichumbua sana kwa mikorogo.
Miaka kama minne hivi iliyopita nilipokuwa chuoni nchini Marekani tukiwa kazini baada ya amsomo tulishtusha na msichana mmoja mfanyakazi mwenzetu alivyoanza kubadilika rangi mabaka mengi mara ngozi kubanduka usoni, nilikuwa wa kwanz akuulizia kulikoni, akaniambia ameweka mkorogo kupata ladha nzuri ya ngozi, wamarekani wakawa wanacheka sana. Baada ya wiki mbili hali yake ilirudia kuwa nzuri na usoni kuoekana kama rangi ya wazungu huku wajiri wa kiasia na nywele zao za kiasia.
Hao hao ndio wanaoleta sabuni za kugeuza wasichana ubikira.
hao hao ndio wanaowafunza vijana wetu kutumia sabuni kuwa madawa ya kujiremba.
Kizazi kibaya hicho tuwe makini.
Ifupi jamii za Kiasi ni wabuguzi kuliko wazungu, po pote waishipo wapo kipekee na kivyao, angalia hata Tanzania hawachangamani na watanzania. Ni wabaguzi balaa ingawa ni maskini kama sisi tu. Ile rangi yao ya uzeruzetu wanajiona dhahabu mbele ya waafrika.
Ulichoandika hapo nadhani hujielewi ila umeandika kujaza maneno maneno yaonekane mengi ila huna la maana uliloandika pole sana mdada... Comment za kibaguzi si ubaguzi uliouanzisha nyie mnadhani mtachekewa hadi kiama chenu... pole Yesu alipokuja alichange vitu vingi ili kila kitu kiwe sawa ila ubishi ndio unaendelea hadi leo na ni ngumu kuisha kuna wanaokubali kubaguliwa na kuna wale wanaokataa kama mimi so usinione kuwa abuse nope ni kwa sababu yenu hasa nyie waarabu mliendelea sana kubagua weusi...sidhani kama nitakuja wapenda kabla hamjaacha ubaguzi wenu... hiyo ya muhammed sitoaacha kuisema kwani ni kweli ila nyie mnaficha ficha hamuiweki wazi na mkiwekewa wazi mnasema abuse uchochezi matusi n.k cha muhimu acheni tabia yenu mbaya muone kama kutakuwa na tatizo... Watoto wa Waarabu wengi waliotoka Zanzibar na sehemu nyingi za pwani ya Africa walikataliwa kurejea Arabuni kwa sababu rangi zao zilikuwa na weusi wakabakia na wengi waliitwa Wamanga ambao ndio nyie Afro arabia... Ubaguzi haukuanzia jana wa juzi tokea miaka ya mwanzo kabisa... na huu ulikuwa ni mpango wa Mungu pale binadamu walipokuwa wanaelewana sana na kutaka kumfikia Mungu Babylon Tower haya ni matokeo ya binadamu wasielewane ili kumdhihaki Mungu.MwaAfirika (in general BLK/WHT) anabaguliwa hata kwenye sahani ya mloo!! Ana hiyari kwenda kufa baharini huko Mediterenean Sea kwa kukimbia ubaguzi nyumbani kwake na kwenye uzalendo wake!! Mtu anakubali azame maji kulikoni!!! Wewe mwenyewe Comment zako ni za kibaguzi na uchochezi wa kidini... Yaani umeshajiaminisha wewe ni wewe kwa kujalizia kejeli kataika uzi wowote unaochangia. Ufanyavyo hivo unadhihirisha ubaya na mafunzo ya Mungumtu wako!! You are taught to hate and to abuse , your hand is full of BLOOD. Jiheshimu uwe kama wenzio wenyekutii mafunzo ya Bw.Yasu3.
Huu ubaguzi wa rangi juu ya mwanadamu mwingine hususani sisi waafrika ni dalili za wivu kisaikolojia! ukweli ni kwamba kuna hofu ya asili juu ya mtu mweusi kwani ni binadamu tunaonekana kuwa "hatushindwi kufanya lolote lile na muda wowote ule" wao wenyewe hawa weupe wanakiri Muafrika ameumbwa tofauti ki utendaji hasa katika ubunifu, in bone mentality- wao wanavyo sema. mbona sisi hatuwachukii tunawapenda? ila nadhani mwisho wa hii kasumba umefikia mwisho wake, maana nashuhudia jinsi mataifa ya magharibi dada zao na mabinti zao wanavyokimbilia kuolewa na muafrika tena anaye ishi afrika
Habari umeiandika vizuri. Ningekuwa mkurugenzi wa taasis ya usalama wa nchi nikingekupa kazi ya kukusanya taarifa za kiintelijensia kuhusu wachina.
Jamenii hali mbaya na sababu ni siye wenyewe..... ona hii,Waafrika tunabaguliwa sana hasa katika nchi za ulaya na kwingineko cha ajabu wakija huku tunawashoboke na wenyewe wanapretend kuwa friendly ila ukiwa nchini mwao cha moto unakiona
Acha kujipandisha hatulingani nao kiuchumi
Baseless points, unapayuka mastusi ambayo yanamhusu mwanaadamu (umetukana wazazi wote) matusi ni ibadaa kwako.Ulichoandika hapo nadhani hujielewi ila umeandika kujaza maneno maneno yaonekane mengi ila huna la maana uliloandika pole sana mdada... Comment za kibaguzi si ubaguzi uliouanzisha nyie mnadhani mtachekewa hadi kiama chenu... pole Yesu alipokuja alichange vitu vingi ili kila kitu kiwe sawa ila ubishi ndio unaendelea hadi leo na ni ngumu kuisha kuna wanaokubali kubaguliwa na kuna wale wanaokataa kama mimi so usinione kuwa abuse nope ni kwa sababu yenu hasa nyie waarabu mliendelea sana kubagua weusi...sidhani kama nitakuja wapenda kabla hamjaacha ubaguzi wenu... hiyo ya muhammed sitoaacha kuisema kwani ni kweli ila nyie mnaficha ficha hamuiweki wazi na mkiwekewa wazi mnasema abuse uchochezi matusi n.k cha muhimu acheni tabia yenu mbaya muone kama kutakuwa na tatizo... Watoto wa Waarabu wengi waliotoka Zanzibar na sehemu nyingi za pwani ya Africa walikataliwa kurejea Arabuni kwa sababu rangi zao zilikuwa na weusi wakabakia na wengi waliitwa Wamanga ambao ndio nyie Afro arabia... Ubaguzi haukuanzia jana wa juzi tokea miaka ya mwanzo kabisa... na huu ulikuwa ni mpango wa Mungu pale binadamu walipokuwa wanaelewana sana na kutaka kumfikia Mungu Babylon Tower haya ni matokeo ya binadamu wasielewane ili kumdhihaki Mungu.
Hizo Blood zenye damu ni damu yako ya huko chini au unamaana damu ipi? kuwa mwangalifu na dini yako ya ajabu ya Mungu Mwezi...Allah... huyo Mweusi aliyediriki kujitosa baharini ni kwa Utashi wake....wapo wanaokubali na wapo wanaokataa ubaguzi... Yesu alisema Mpende Jorani yako kama unavyojipenda...
Siyo wote... wapo watu wanaoishi pamoja kwa kushirikiana, kwa kukaribiana kijamii. (don't generalize Bhana) vidole vyote haviko sawa!! Badilika na jirekebishe kimawazo!! hakuna aibu kurejesha hasira zako.... Always utakuwa bingwa ukikubali ya wenzio...., Hadhi njema kwa binaadamu mwema.Amin
Nafikiri ni kwa sababu wapo wengi sana hivyo wengine hawajui wanahisi umetoka kwa Obama .umenichekesha kweili eti obama amesaidia, lkn mbona wachina wengi sana huku afrka inamaana wakirudi makwao huwa wanasema wanatoka ulaya kufanya biashara,