Wasichana wa Dar wanakomoa sana wanaume

Wasichana wa Dar wanakomoa sana wanaume

Hizo hela za savannah bora ukamnunulie mzazi wako Shati au Doti ya kitenge na atakuwekea Mikono ya baraka kichwani ufanikiwe maishani..
 
Wanawake Wa dar tunawaweza sisi....
Nyie Wa mkoani kwafateni wenzenu Wa huko huko....
Kila Siku kulia lia
 
yaani madem wa Dar wanajifanya high class sana huku wakiwa ni matapeli wa mapenzi na ni wizi tuu ata ladha yao ni tofauti na wa mkoani yaani imekua kwa Dar mpaka Dem akupe penzi kwake ni biashara ukimwita mahali ni kuagiza savana, wisk, wine yaani mradi akukomoe tuu bado asubuhi umtoe ndiyo maana madem wengi Dar wanaishia kuchezewa tu hivi nyie madem mmefanyia hicho kipapuchi ndiyo kitega uchumi?


Tuachie madem wetu wa Dar...! Sasa wewe wa mkoani unaacha kuja na demu wako wa mkoani unataka hawa wa Dar? Lazima ulielie
 
ndio maana wenzenu tunaenda wanapouza chimpumu na chibuku straight kule kopo moja tu buku mbil kalewa unakula mzigo shuhul imeisha
 
Back
Top Bottom