Wasichana wa Dar wanakomoa sana wanaume

Wasichana wa Dar wanakomoa sana wanaume

chanawalleti

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
49
Reaction score
45
Yani wasichana wa Dar wanajifanya high class sana, huku wakiwa ni matapeli wa mapenzi na ni wizi tuu, hata ladha yao ni tofauti na wa mkoani, yaani imekuwa kwa Dar mpaka msichana akupe penzi kwake ni biashara.

Ukimwita mahali ni kuagiza savana, wisk, wine yaani mradi akukomoe tuu, bado asubuhi umtoe, ndiyo maana wasichana wengi Dar wanaishia kuchezewa tu.

Hivi nyie wasichana mmefanyia hicho kipapuchi ndiyo kitega uchumi?
 
Nothing is good or bad but your thinking make it so.

Nakumbuka wakati nasomea KODI niliambiwa Kuna Kodi huwezi kuzikwepa Mfano Income tax. Kuna Kodi unaweza kuzikwepa kwa kujiepusha kutumia bidhaa au huduma zenye Kodi hiyo Mfano VAT.

HAPO NI "AKILI MKICHWA"
 
hahahaah ishi nao kiakili sana wengi wao wenye tabia hizi wametoka mikoani wamekuja huku kutafuta pesa ndo maana wapo kimaslai sana hata salamu yako kuijibu ni pesa
 
mkuu acha mambo zako mi nagegeda kama nimefungwa injini ya treni na ni bure hao wa mahela unawatolea wapi hapa dar?
 
aiseee nimekuelewa sana ila ungejazia jazia nyama ningekuelewa zaidi mzee mwenzangu.
 
Mkuu pole sana.

ndio hivyo.

kama wewe unakunywa soda tafuta wa size yako wanaokunywa soda.

kama wewe ni Heineken tegemea kupata demu anaekunywa Savannah.

mademu wazuri ni gharama mkuu wangu

mimi kama siko njema kwenye wallet siwezi mtoa out demu wa Dar.

ntaishia kununua Konyagi yangu najikalia Chumbani nawasha Laptop kama vile jana.

Japo SKY Eclat amesema Chumbani ni mahali pa kulala na kufanya Sex tu.

Pole sana tafuta pesa ukiwa na pesa waaala huwezi kuja kulalamikia Savannah ya elf 5
 
mvulana wa mkoani kaja dar kakutana na dada poa kaanza kulialia

mkuu huko mikoani hawajui kujiremba ndio maana wa huku dar unawaona tofauti
 
mimi na waluguru wangu huku ni kuchemsha magimbi tu. kilevi komoni jero chakali
 
Pole mkuu, ila hujawajulia vizuri, umesahau pia, kuwaacha ni kazi kubwa sana. Ukishaingia hutoki tena.
 
Unavojiweka, unavo act, na mazingira uliyopo ndipo unapopata msichana wa namna hyo huwezi kua unashinda bar umpate msichana may be asiyekunywa
 
Tafuta saizi yako ndugu...umekutana na mwanamke bar,kesho ukimwita sehemu akaagiza savana unaanza kulialia unataka awe kama mama mchungaji.....
 
Back
Top Bottom