Hahahah,bila Shaka wwe utakuwa mwanachuo!
Kwa ujasiriamali wako huo nafikiri ulichukua ambaye siyo saizi yako.
Watu wanahonga wilaya, wanahonga mkoa, wewe unakuja na machozi kuhonga cosmetics tu! vipodozi vyenyewe ulivyohonga hatarishi
Take your size
Know your portion
Chew what you can
Acha kulialia, komaa mtoto wa kiume
Ukizichanga za kutosha utawaona poa tu!