Wasichana wa chuo na ndoto za mchana

Wasichana wa chuo na ndoto za mchana

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wakuu,

Natumaini mko poa,Leo ningependa kujadili baadhi ya mambo kuhusiana na wasichana wanaosoma vyuo mbalimbali, nita egemea sana kwenye swala la mahusiano, mimi ni muuza karanga na hizi ni baadhi ya tabia zao zinazonikera ukiwa nao kwenye mahusiano.

(1)-Hua wenyewe na namna gani tunaweza kutawala mazingira yetu natukajipatia maendeleo,lakini wasichana wengi wa chuo hawajitambui yani wanamatumizi mabovu sana ya pesa, ukiwa nae kila siku anakuomba pesa tu, bora akuombe hiyo pesa akafanye ujasiriamali yeye anaenda kufanya matumizi ya ovyo tu, wengi wao naona wameenda kuuza sura tu, maana "hawafahamu stadi za maisha", halafu ndoto zao wengi nikuolewa na wanaume matajiri, mimi nawambia hizo ni ndoto za mchana, hakuna mwanaume tajiri anayependa kuoa mwanamke asiye heshimu pesa labda wakajiuze tu kwa matajiri.

(2)-Drama Queen/Modern cosmetics/Fashion killer,wadada wengi wa chuo huwa wanajiona wazuri sana,ila minawakumbusha tu,uzuri huo wanaojiona nao ni wa mda tu sio wa milele na pia wakumbuke wao sio wa kwanza kuzaliwa wazuri walikuwepo wengine leo hawapo tena kama kina " Cleopatra ",wadada wa chuo wanatudharau sana hasa sisi wauza karanga ukikutana nao ukiwa salimia hata hawakujibu,mwendo wao kama wa paka na kingereza chao "broken"cha kuombea maji na kuomba hela,waulize mitindo yote ya nguo ya ulaya anaijua lakini mwambie kupika ugali wa dona hajui,halafu wanataka kuolewa na wanaume matajiri,hizo ni ndoto za mchana hivi mwanaume gani anayetaka kuoa mwanamke asiyejua kupika!,pili msichana wa Afrika ukizidisha uzungu wa fashion watu wanakuona Malaya tu!,huwezi kupata mme!.

Note: Sio wasichana wote wa chuo wanatabia hizo, hao ni baadhi tu, ila wasichana wote wanao tudharau sIsi wauza karanga, waache dharau wakumbuke sisi hatuna elimu ya shule ila tuna elimu ya maisha!

By muuza karanga!
 
Ok wanakuja wasubiri kidogo, mie ngoja nikalale tu sasa maana hakuna namna.
 
Kwa ujasiriamali wako huo nafikiri ulichukua ambaye siyo saizi yako.
Watu wanahonga wilaya, wanahonga mkoa, wewe unakuja na machozi kuhonga cosmetics tu! vipodozi vyenyewe ulivyohonga hatarishi
Take your size
Know your portion
Chew what you can
Acha kulialia, komaa mtoto wa kiume
Ukizichanga za kutosha utawaona poa tu!
 
Wote wana vichapio vyao chuoni wanakaa na kula hela ya mabwege mtozeni
 
Maisha ya kuigiza ni mengi. Kuna madem walikua wanakunywa maji ya kilimanjaro tu. Sas nkajiuliza ivi kiuhalisia uko kwao ni kweli wanakunywa hayo maji au ya kuchemsha
 
Pole sana....hawa viumbe siyo type yako mkuu ukikomaa nao utafirisika mtaji.....we tafta mwanamke wa kawaida tu maana hakuna namna.
 
Si ujihusishe na wanaofanana na wewe , achana na wadada wa chuo
 
Habari,wakuu natumaini mko poa,Leo ningependa kujadili baadhi ya mambo kuhusiana na wasichana wanaosoma vyuo mbalimbali,Nita Egemea sana kwenye swala la mahusiano,mmi ni muuza karanga na hizi ni baadhi ya Tabia zao zinazonikera ukiwa nao kwenye mahusiano!
(1)-High Expenditure, kuna jambo linalo nisikitisha sana,sote tunatambua umuhimu wa ELimu ni kutusaidia kujitambua wenyewe na namna gani tunaweza kutawala mazingira yetu natukajipatia maendeleo,lakini wasichana wengi wa chuo hawajitambui yani wanamatumizi mabovu sana ya pesa,ukiwa nae kila siku anakuomba pesa tu,bora akuombe hiyo pesa akafanye ujasiriamali yeye anaenda kufanya matumizi ya ovyo tu,Wengi wao naona wameenda kuuza sura tu,maana "hawafahamu stadi za maisha",halafu Ndoto zao wengi nikuolewa na wanaume matajiri,minawambia hizo ni Ndoto za mchana,hakuna mwanaume tajiri anayependa kuoa mwanamke asiye heshimu pesa labda wakajiuze tu kwa matajiri.

(2)-Drama Queen/Modern cosmetics/Fashion killer,wadada wengi wa chuo huwa wanajiona wazuri sana,ila minawakumbusha tu,uzuri huo wanaojiona nao ni wa mda tu sio wa milele na pia wakumbuke wao sio wa kwanza kuzaliwa wazuri walikuwepo wengine leo hawapo tena kama kina " Cleopatra ",wadada wa chuo wanatudharau sana hasa sisi wauza karanga ukikutana nao ukiwa salimia hata hawakujibu,mwendo wao kama wa paka na kingereza chao "broken"cha kuombea maji na kuomba hela,waulize mitindo yote ya nguo ya ulaya anaijua lakini mwambie kupika ugali wa dona hajui,halafu wanataka kuolewa na wanaume matajiri,hizo ni ndoto za mchana hivi mwanaume gani anayetaka kuoa mwanamke asiyejua kupika!,pili msichana wa Afrika ukizidisha uzungu wa fashion watu wanakuona Malaya tu!,huwezi kupata mme!.

Note:sio wasichana wote wa chuo wanatabia hizo,hao ni baadhi tu,ila wasichana wote wanao tudharau ssi wauza karanga,waache dharau wakumbuke sisi hatuna elimu ya shule ila tuna Elimu ya maisha!

By muuza karanga!

Karangaa huwa unauza wapi? Ni mmoja wa wale wanaopitisha bar? Aisee wale wana uthubutu sana, yaani wanakuta watu wanakunywa bia wao wanataka kuonjesha karanga!!!
 
Kama mtoto wa kiume yakupasa ujitambue na uache kulia lia na vitu vidogo kama hvo tafuta hela hao utawavua nguo had uwachoke
 
Back
Top Bottom