Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

Mambo ya Daslam haya. Hata ukijiendeshea water bowser lako unajipakulia totoz za nguvu.
 
Hamjatumia msamiati huo but ndo mnachomaanisha.
. Yes, gari linaashiria mwanaume ana uwezo, so tunavutiwa na wenye magari. More fancy car, more wealthy.

Wengine tuna shida tu ya lift so msifikiri mmependwa.

Mada Imeongelewa kuliwa kisa lift, inamaana hawa wadada wanalalaga na wanaume tofauti kisa lift tu??

. Of course kama unapanda lift ya mwanamume bure kila siku sijui unategemea nini. Kama huna mpango na huyo kaka, bora uache tu.
Naona sasa tunaelewana.........tupo pamoja.
 
sawa, kila mtu na experience yake mimi hakuna gari nime enjoy kama ya kununua mwenyewe, za kununuliwa nahisi kama zina kuja na strings attached, inawezekana ni hisia zangu tu lakini siinjoy kabisa gari ya kununuliwa
Hongera dada.....hawa akina atoto miss chagga brenda18 housegirl wangekuwa kama wewe maisha yangekuwa mazuri sana hata siku za kuishi zingeongezeka
 
Hamjatumia msamiati huo but ndo mnachomaanisha.
. Yes, gari linaashiria mwanaume ana uwezo, so tunavutiwa na wenye magari. More fancy car, more wealthy.

Wengine tuna shida tu ya lift so msifikiri mmependwa.

Mada Imeongelewa kuliwa kisa lift, inamaana hawa wadada wanalalaga na wanaume tofauti kisa lift tu??

. Of course kama unapanda lift ya mwanamume bure kila siku sijui unategemea nini. Kama huna mpango na huyo kaka, bora uache tu.
Na shida yako hiyo hiyo ya lifti utanivulia chupi tu....mbona wengi tunakutana nao hao unaowaita waarabu sjui ndio hao hao twawalaaaaa,,na mwingine unamla kisa lift na bado anagari la gharama kuliko langu.usilete ubishi bibie iko hivyo yaani
 
public transport ziausumbufu mwingi.. kwa hiyo ukipta kabwana kanakagari inakuwa afadhali kwangu .. vilifti lifti na usumbufu wa public siupati bila kujali ni la nani
Baada ya kukutana kibahati mbaya JF wakaanza kuchat:
MDADA: Una gari aina gani?
MKAKA: Mercedes Benz S class
MDADA: Wow! hata kuchat na ww najickia
raha
MKAKA: Benz lenyewe sio langu nimeazima
kwa rafiki yng
MDADA: Nikwambie tu ukweli mi nina
boyfriend wng mwaya
MKAKA: Niliazima Benz maana gari langu
BMW 7 series ilikuwa service
MDADA: boyfriend mwenyewe tumeachana
muda mrefu siku hizi nipo singo mwaya..

Shikamoo wadada wote
 
Back
Top Bottom