Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

watu humu wanajua aina za magari kama wanafanya kazi gereji aiseeee acha watu wavuliwe vyupi maana ata fundi gereji inavyoonyesha anatafuna sana
 
Mimi na starlet yangu namba c nawanyoosha...mtaani nachafua, vi college hivi nako nachafua......uchawi wa kizungu kagari bwana
hahahahahahaha..........mkuu kumbuka lakini kuvaa PPE(Personal Protective Equipment) usije ukaleta balaa baadae.
 
Kuna rafiki yangu anamuendesha mwaarabu basi anabadilisha magari makali makali jamaa ameoa lakini kawapangishia vimada sita sasa sijui hao wengine ambao anapiga na kuondoka aiseee
 
Kuna dereva wetu mmoja, anaendesha STJ, na anawatafuna balaa!
Mwenyewe dereva wangu ofisini anawapiga miti kama hana akili nzuri pamoja na kwamba gari ina nembo ya kampuni ubavuni na ni mtu wa makamo lakini hizo sample anazong'oa acha tu.
 
Halafu unakuta ni vigumu kumtambua maana naye utamkuta ana bonge la kitambi hlf katakata kinoma shauri ya kiyoyozi maana hayo magari ya STK huwa hayashushi vyoo ni full kiyoyozi
Hivi madereva wa magari ya serikali sijui kwann wana mavitambi makubwa vile, utadhani ndio bosi kumbe walaaaa!
 
Hivi madereva wa magari ya serikali sijui kwann wana mavitambi makubwa vile, utadhani ndio bosi kumbe walaaaa!
Ndio hivyo sasa inabidi km ni kuwakubali umkubali tu lkn sio kwamba gari ni lake
 
Ndio hivyo sasa inabidi km ni kuwakubali umkubali tu lkn sio kwamba gari ni lake
Kwahiyo anijie na gari la serikali kabisaa, hata plate number sioni jamani, na boss gani wa serikalini alafu akajiendesha
 
Hivi madereva wa magari ya serikali sijui kwann wana mavitambi makubwa vile, utadhani ndio bosi kumbe walaaaa!
Kwa kusoma michango ya hii thread nimegundua ni wasichana/wanawake wa JF tu ndio hawasumbuliwi na magari ila huko mtaani ni balaa!!!
 
Back
Top Bottom