Hii nimeipenda hakuna maskini wa kudumu nilishasema mabinti angalieni uwezo wa akili ya mtu,then forecast,sema tatizo mabinti wengi wanataka fedha haraka haraka,mwanaume uwe na kazi nzuri,gari,simu kali nk,anyway for passing time watu wanaweza ku pretend,but for the future jamani wadad cha msingi ana elimu na maono/future plans....Unanikumbusha mbali sana!! mama mmoja alikataa bintiye asiolewe na rafiki yangu eti maskini,leo jamaa anafundisha university na kapata scholarship usa,binti bado anauza sura sumbawangu! tuweni makini,hakuna maskini wa kudumu!!
She is a stupid......
Huyo mwanamke hakumpenda huyo jamaa.
Ila sasa kaona jamaa ana mwanamke mwingine ndio inamuuma.
Na pengine anataka kuaribu tu uhusiano wa huyo mume na huyo mke basi.
Akae nae mbali sana, shenzi type woman. mara nyingi makosa yao usingizia wengine ili waonekane wapo innocent
Duu this truly is a small world. Hapana chezea ule mlima.Unamzungumzia yule jamaa wa Leta Dutigike? Sio huyo bana, jamaa wa cali kaoa muzungu ( tipwa tipwa ), sio yeye