wasichana hawa wamerogwa au?

wasichana hawa wamerogwa au?

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Mtu una chati naye mwezi mzima kila mara anajifanya yuko safarini mara yupo bize. Then anakutafuta eti amekumisi anataka mkutane. Unamwambia kama mambo atakupa anasema ndiyo. Then anakuambia atakuja kabla ya saa tisa jioni. Then anakupigia saa nne usiku eti yupo njiani. Unamsubiri kwa hamu then anafika na nusu. Mnaonana kwa hamu then anakwambia amechoka mkalale. Then anakuambia kwamba ana bleed. Anakuonyesha pedi limejaa damu chini. Pumbaffff? Panda basi urudi kwenu. Biaatch!@#$
 
Sanaa za dadas wa DAR hao!
 
pole sana mkuu umeletewa sanaa ndani ya jumba la sanaaa?

Kwani wewe ulikuwa huwajui wanawake walivyo?........
 
sawa sawa hukuwa na hadhi ya kuwa nae hii thread imezihirisha hivo.
 
Damu ya ng'ombe hiyo wewe, aoge then alipe kama kawa au la...0714 (kwani na yenyewe inangia huko juu?)
 
mmezidi!
BTW Nemo nakuona kwa mbaali upo mamii?
siku nyingi sana potea sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe wanaume mnachekesha sana. bleed inakuzuia kufanya kile unachataka kufanya! we mgeni kwenye hiyo fani basi.
 
Angekutaka kweli au angekua na mapenzi na wewe asingeshindwa na lakufanya mpaka nafsi yako ikatulia,au niseme sio mwanamke alotimia mambo kayavamia.... arudi kwa bibi atampa mikoba.... na mkaka kwani na wewe ulishindwa kumvumilia?
unamuita mwenzio hata angekwambia kama hali ndio hiyo usingemuelewa...bora umejionea mwenyewe..
 
Mtu una chati naye mwezi mzima kila mara anajifanya yuko safarini mara yupo bize. Then anakutafuta eti amekumisi anataka mkutane. Unamwambia kama mambo atakupa anasema ndiyo. Then anakuambia atakuja kabla ya saa tisa jioni. Then anakupigia saa nne usiku eti yupo njiani. Unamsubiri kwa hamu then anafika na nusu. Mnaonana kwa hamu then anakwambia amechoka mkalale. Then anakuambia kwamba ana bleed. Anakuonyesha pedi limejaa damu chini. Pumbaffff? Panda basi urudi kwenu. Biaatch!@#$

tehe!tehe!tehe! Jf never bored
 
Mwenzio alikumiss na alitaka kukusalimia tu, tatizo wewe unawaza ngono, na ulitaka upewe ngono. Kakuzuga kukubaliana ili afanikishe adhima yake ya kukusalimia.
By the way, kuchat tu na mtu bila hata kuonana kunakufisha kuplan kudo?
 
Mh,kwahiyo wew unataka tu iyo maneno..?! Pole
Mtu una chati naye mwezi mzima kila mara anajifanya yuko safarini mara yupo bize. Then anakutafuta eti amekumisi anataka mkutane. Unamwambia kama mambo atakupa anasema ndiyo. Then anakuambia atakuja kabla ya saa tisa jioni. Then anakupigia saa nne usiku eti yupo njiani. Unamsubiri kwa hamu then anafika na nusu. Mnaonana kwa hamu then anakwambia amechoka mkalale. Then anakuambia kwamba ana bleed. Anakuonyesha pedi limejaa damu chini. Pumbaffff? Panda basi urudi kwenu. Biaatch!@#$
 
Kampelekea mwingine wewe ilikuwa sio saizi yako
Kuna midume mingine inapiga au mumkunja mpaka hafurukuti hao ndio watoto wa Mjini bila vituko hupati kitu na .com yako
 
ubahili wako ndio unaochangia hayo...nyoosha mkono brother
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom