wasichana hawa wamerogwa au?

wasichana hawa wamerogwa au?

We ndo mbulula kweli,hujui kama wanaweka tomato sosi?
 
Kwi kwiiiiii kwiiiiiiiiiiiiiii u made my day brodaaaa!

BTW kama alikuonyesha pa.. Inaonyesha ni jinsi gani ulivyoking'ang'anizi lolz..

Haya ndo mapenzi ya uso wa kitabu .. Via chating.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mtu una chati naye mwezi mzima kila mara anajifanya yuko safarini mara yupo bize. Then anakutafuta eti amekumisi anataka mkutane. Unamwambia kama mambo atakupa anasema ndiyo. Then anakuambia atakuja kabla ya saa tisa jioni. Then anakupigia saa nne usiku eti yupo njiani. Unamsubiri kwa hamu then anafika na nusu. Mnaonana kwa hamu then anakwambia amechoka mkalale. Then anakuambia kwamba ana bleed. Anakuonyesha pedi limejaa damu chini. Pumbaffff? Panda basi urudi kwenu. Biaatch!@#$

kwanza kabjsa wewe umejishusha hadhi kama mwanaume. a woman tells u atakuja saa tisa mchana hajafika alafu anakupigia usiku eti nipo njiani....unamwambia wala usije.
ile kuchelewa kuna tayari anaonyesha anajiona yeye keki....totally disrespectful. na wanawake wakibongo wana hiyo tabia.....sio ustaarab huo.
 
Mwenzio alikumiss na alitaka kukusalimia tu, tatizo wewe unawaza ngono, na ulitaka upewe ngono. Kakuzuga kukubaliana ili afanikishe adhima yake ya kukusalimia.
By the way, kuchat tu na mtu bila hata kuonana kunakufisha kuplan kudo?

Hawa ndio akina Boflo hakuna urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume. lol!

Kizazi cha nyoka ngono kwenda mbale!
Mwanamke naye aweza kuwa rafiki mkabadirishana mawazo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom