Wasichana baadhi mnajidhalilisha (omba omba)

Wasichana baadhi mnajidhalilisha (omba omba)

Mimi wangu hajui kuomba wala kuniomba mpaka anakera...
Hata awe na shida kubwa vipi haniambii...
Usipojiongeza atakaa kimya...
Anajijua mwenyewe...
😘😘
Isijekuwa kuna mahali anaomba kwa kukuonea huruma mkuu.
 
Kuna demu wa msela nilipewa mzigo nimpelekee, nikapewa namba na jamaa yake nikifika nimpigie ili nimpe huo mzigo wake. Baada ya kuachana nae akawa anapiga simu nyingi kunipa hi za hapa na pale, mwisho jina likabadilika kutoka Shem mpaka my, Mimi nikawa nacheka tu kimoyomoyo kila nikiona text zake na simu akipiga. Mwisho akaanza kunambia anataka kupanga ili ajitegemee ila ana hela ya chumba,godoro na kitanda peke yake hana hela ya vyombo hivyo nimsaidie.(haya yote ni ndani ya Masaa yasiyozidi 50). Sijamjibu kitu kulalake zake.
 
Mi kuna kamoja nilikapata kanaenda kawe kuombewa kwa Mwamposa mi naenda zangu mikocheni.Basi siku ya kukanyandua pale Kisuma magomeni usalama.Huo usiku kamenieleza matatizo kibao,Mara nitafutie kazi nkajisemea hiyo sawa.Mara mi naishi kwa dadangu nomba ninunulie godoro na kitanda nipange chumba, moyoni nkajisemea hamna hamna kitu hapa.Nilipokuja kuchoka kalikuja kamevaa chupi mbili kumbe ni kakerewe bana.
 
Niliwahi kukutana na binti mmoja mzaramo anaomba vibaya sana.

Kidogo unakwambia njaa inaniuma
 
Nilikutana bint mmoja wq kingoni huyo anaomba vibaya Sema alikuwa anibanii Papuchi nikitaka namla muda wowote.
 
Hakuna Jambo linashusha hadhi kama binadamu mwenye Akili timamu na viungo vyote vya mwili kuwa ombaomba.
Lakini hii inaanzia kwenye malezi toka mtoto anakua anatengenezwa kuwa ombaomba au anaejitegemea kimawazo na kiuchumi, ni suala la utamaduni wa familia husika na watu wanaomzunguka huyo ombaomba mwenye ulemavu wa jinsia.
Kuna baadhi ya nchi hukuti Watu wa namna hiyo Hawa walemavu wa kijinsia wanaohisi kuwa mwanamke maana yake umekua mlemavu wa Akili na mawazo hivyo unapaswa kuwa ombaomba wako huku dunia ya tatu na wanaona ni sawa kabisa.
Wanawake wnaakili Sana Ila ukimkuta ombaomba utajua kabisa kuna wanawake ni wajinga kupindukia.
 
Unamjua mtu Leo na anakua na shida leo
 
Back
Top Bottom