Wasichana baadhi mnajidhalilisha (omba omba)

Inasemekana kwamba bidhaa ya Sambusa inalipa sana kwa wamiliki wake nyakati hizi.
Mwanamke akishaomba pesa basi jua kwamba tayari amekupa access ya kufanya utakavyo
Mwanaume anakutongoza leo Leo na hapo hapo unaanza kutangaza shida.Kuomba kwa mpenzi siyo mbaya,ila mmezidi sana.Utapewa unachotaka lakini hakuna kuweka kambi.Fanya uchunguzi mpaka vijijini wanawake ni zaidi ya matonya.Jiheshimuni buana
 
Udumu ktk ubora huo wa mawazo.
 
Kwani ukimuomba hela mpenzi wako ndio kujidhalilisha?

Wakati mwingine ni mbinu ya kijanja ya kukufukuza. Anajua kabisa hela anayokuomba huna basi tu anakuomba ujiongeze uache usumbufu.

Endea mwanamke yule unaona hana njaa upunguze makasiriko.
 
Screenshot_20210326-142003.jpg
 
Mimi wangu hajui kuomba wala kuniomba mpaka anakera...
Hata awe na shida kubwa vipi haniambii...
Usipojiongeza atakaa kimya...
Anajijua mwenyewe...
😘😘
I lyk that, wangu wa kichaga jioni lazima aniulize umeingiza sh.ngapi,anatamani angefunga cctv camera mifukoni mwangu, yaani hajui kwamba tuko ktk kipindi cha maombolezo yy right, left and centre ni pesa tu.
 
Kiukweli hawaa omba omba hata ukiwapa hawanaga shukrani haswa wakiwa hawakupendi kweli ni watakukomoa na kukutangaza ila wanaume tunahuruma sana , Mungu atutie nguvu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom