Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,274
- 25,322
Wakuu,
Jamani kiukweli kwa kitu ambacho nimekuwa nikikiona kwa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa ni kuwa wamekuwa wanahasira sana.
Na sio mimi tu nimeshasikia watu wengi wakilalamika kuwa wamekuwa wakijibiwa shombo na wadada ambao wamekosa ndoa.
Yani ukimuuliza jambo lolote anaweza akakujibu vibaya mpaka ukakosa raha yani wana maneno ya shombo hatari.
Wakuu wenye uelewa wa haya mambo mtujuze nini shida?