mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
aweke pichaSIOI na yeye akapewa baraka na wazee:lol::blah:
aweke pichaSIOI na yeye akapewa baraka na wazee:lol::blah:
Sure kwa CCM wanavyopenda kuiga utasikia Sioi naye kawekewa mikono na wazee.SIOI na yeye akapewa baraka na wazee:lol::blah:
IndeedGood move!
Wazazi MI CDM ila kwa issue zilivyo kaa dogo watampiga chini issue ya ardhi Meru it is too sensitive to be taken as the main campaign agenda na dogo anibebea bango hiyo issue wenye mashamba makubwa wataungana watamchinjia baharini tu mi nasimama hapa wazazi mpaka 1st April; Nassary must learn not to talk more than it is necessary.
ukiniuliza kwa nini nimeipenda CHADEMA sijui, na ukiniuliza kwa nini nimeipenda Asernal na Simba hapo ndio kabisa labda kama unataka kunitoa chozi utukane chama langu cadema au utukane kilabu changu
Indeed
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka zao mgombea wa CHADEMA..Wakionyesha kukubali kwa chaguo hili la chama makini CDM wazee hawa walimfanyia ibada ya kimila kwa kumshika kichwani kama ishara ya baraka kwa kijana huyu...Hili linaweza kuwa ni pigo kwa mzee Tendwa msajili wa vyama vya siasa na mshili mkuu ambaye ni ndugu wa karibu wa Sioyi Sumari ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitoa taarifa hasi dhidi ya CDM na hasa Mbunge wa Arusha kamanda Godbless Lema.
View attachment 48758
Hii ni picha ya wazee hawa wakimuwekea mikono kamanda Nassari..
Tunategemea ushindi wa kishindo,yule mzinzi Mwigulu bado yupo Arumeru?
nilijua tu hii kazi akipewa Kamanda Nyerere kazi kwisha,ndo maana mwigulu kawa poa,ijumaa natia timu ArumeruStep by step...chadema gon' reach the climax.