Washikaji tafuteni marafiki wa kike

asante,inawezekana hata ww ukapata rafik wa jinsia tofauti,mkaheshimiana,mkapendana na mkasaidiana sana,mkawa tayar kujitoa kwa lolote na msiingie kwny mapenz,hili sisi tumeliweza na tunafrahia sana sanaaaa askwambie mtu
Labda awe ananipa kazi flan flan au misaada flan na hofu yangu iwe kuwa nikimtongoza akakataa bas kila kitu kimeharibika
 
Tatizo wanaume wa siku hizi wanafikiri ukiwa rafiki yake ndo chanzo cha kulalana ...Mimi sipendi ujinga ujinga

Muwe na positive thinking muda mwingine. Inaboa sana rafiki kuniletea habari za uchafu.
 
mwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
Ulikuwa shule gani mkuu kule bariadi maana naweza kuwa ndugu yako hivi hivi
 
BADO HAINIINGII AKILINI.

Nature hairuhusu hicho kitu.


Rafiki yako wa karibu anatakiwa kuwa wa jinsia yako MTU ambae mnashare common interest, MTU ambae hata ukipata tatizo saa name usiku anakuja, MTU ambae hata ukilazwa anaweza kukuogesha. MTU ambae atakushauri hata kwenye maamuzi magumu ya kiume. MTU amabae hata wote mkiwa na familia mnaweza mkaunda undugu kabisa wa hizi familia mbili bila shaka lolote.
MTU ambae mtasaidiana kiuchumi.

Sasa mwanamke huwezi kuwa nae kwa urafiki karibu kiasi hicho na hivyo anapoteza sifa ya kuwa rafiki. Labda ule urafiki wa juu juu sana.
Kuwa na rafiki wa kwa kigezo cha kusaidiana bado ni hoja nyepesi.
Tuna zile za kujifanya kidume hata kama huna utataka ukope umsaidie wakati rafiki wa kiume uko huru kumwabia hali yako.
kuna kipindi utaanza kutumwa mpaka kwa shemeji zako bila kujijua.


Jinsia hizi mbili "me'' na ''ke'' kama sio ndugu zako , uhusiano wake ni wa kimapenzi tu hakuna urafiki wa kawaida tusidanganyane.
Urafiki labda kwa watoto wadogo.
 
karibu sana,siku mbili kabla ya kuja nijulishe plz,ili nifanye utaratb wa kuvunja ratba zote ka ntakuwa nazo ili tu nsipiteze fursa ya kuonana kamanda mwanajf
Mkuu na mm naomba niwepo kwenye kuvunja kamati.... Long time ago niliishi hapo rhuwiko na Kuna jamaa mmoja alikua maarufu Sana alikua anauza mishkak pale stend, walikua wanamuita jery au jeck Kama sikosei
 
Back
Top Bottom