Washawasha polisi wavua nguo

Washawasha polisi wavua nguo

Attachments

  • 1445884691988.jpg
    1445884691988.jpg
    10.7 KB · Views: 1,432
Hahaaaahaa nimeisikia iyo sasa wanaweza wakawa na huruma kwa kuionjo
 
Wacha yakongoroke na kutumbukia katika mashimo. Wamelaaniwa walioyaleta, pamoja na magari yenyewe! Siku ya kukabidhi magari haya, jamaa alijisifia bila aibu, eti kwa kazi ya kuleta magari ya washawasha! Badala ya kuleta vifaa vya hospitali na dawa za kutibu wagonjwa katika hospitali zetu, Kikwete analeta magari ya washawasha, na kujisifia! Tutakukumbuka kwa jinsi ulivyotutesa Watanzania!
 
Back
Top Bottom