Washarika wamkataa Sitta kanisani

Washarika wamkataa Sitta kanisani

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
 
Kama aliweza kuhonga wajumbe wapige kura ya NDIYO anshindwaje kuhoga robo ya kipato chake cha bunge ili anase ulafi wa wachungaji?

Wapo wengi ambao akichangia nguzo ya kanisa wanampokea kwa baraka kuliko zile za Lowasa.
 
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani

Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
 
Unanikumbusha viboko vilivyotembezwa pale msikitini korogwe ili kuwaondoa mamuruki. Sijui ilikuwaje Mungu akaruhusu bakora kuingia msikitini!
 
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Hilo ni kanisa la washarika na limejengwa kwa nguvu,jasho na pesa za washarika.
 
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Acha ufarisayo wako! vile visu na ngumi ambazo huwa zinapigwa miskitini wakati wa mgawo sadaka huwa zinatoka wapi kama msikiti ni mwenyezi Mungu?
 
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani

Kumkataa pekeee haitoshi ilifaa afukuzwe na kutengwa kabisa, inawezekanaje ashiriki na wapuuzi nayeye akijifanya sio mpuuzi. Aaachane na wapuuzi na aendelee na welevu wake hukohuko dodoma.
 
huyu sitta hafai kabisa labda aanzishe kanisa lake na mke wake labda
 
Kumkataa pekeee haitoshi ilifaa afukuzwe na kutengwa kabisa, inawezekanaje ashiriki na wapuuzi nayeye akijifanya sio mpuuzi. Aaachane na wapuuzi na aendelee na welevu wake hukohuko dodoma.

huyu ni hatari zaidi ya Ebola hafai kabisa
 
Acha ufarisayo wako! vile visu na ngumi ambazo huwa zinapigwa miskitini wakati wa mgawo sadaka huwa zinatoka wapi kama msikiti ni mwenyezi Mungu?

Mwenyezi Mungu ndie mtoa riziki ndogo ndogo na kubwa kubwa ambazo waumini huzitumia kujenga misikiti ambayo milele inabakia ya mwenyezi mungu mtoa riziki.
 
Tunaongelea mambo ya chizi S. Sita, washirika anawaita wapuuzi, si atafute washirika wake anaoona sio wapuuzi. huyo ni kirusi katika kanisa la mungu na nigugu katika ngano yafaa angólewe na kuchomwa moto
 
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani

Wakihongwa kiasi kinachozidi kidogo tu ile posho ya wajumbe wa bunge la sisiem, watamkubali
 
Mwenyezi Mungu ndie mtoa riziki ndogo ndogo na kubwa kubwa ambazo waumini huzitumia kujenga misikiti ambayo milele inabakia ya mwenyezi mungu mtoa riziki.

Misikiti ni ya mwenyezi Mungu au ya Allah! maana waislamu wanasema hakuna Mungu isipokuwa Allah!
 
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.

Hata msikitini hawaingii wanaokwenda kinyume na maadili ya UDHU" mimi ni mkristo lakin najua sheria za msikiti. Keshaharibu udhu wa kanisa kwa kuwadharau viongozi ambao ndio mitume nadani ya kanisa. Hanabudi kutawadhwa upya Yakheee
 
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Inaelekea sasa wazee wa serkali tatu mmechanganyikiwa. mzee wa spidi mnataka hata kumla nyama. KKKT hawezi kutengwa mtu kwa sababu ya BMK. labda kama hao maaskofu wa waraka ni wa ukawa.
 
Back
Top Bottom