Kijana Darasa
Member
- Sep 29, 2014
- 20
- 5
sawa bt wamekosea kimaandiko
Propaganda za kitoto za kikundi cha UKAWA zinafurahisha sana.
Kama ndivyo hivyo, basi hilo litakuwa siyo Kanisa la Mwenyezi Mungu bali ni club tu kama vilabu vya mambo ya kidunia.
Msingi mkuu wa kanisa la Mungu umesimama katika sababu za ujio wa Kristo Yesu kama ilivyoandikwa ndani ya Biblia. Maneno hayo yanasema,
Kristo Yesu alikuja ulimwenguni kuokoa wenye dhambi (1 Timothy 1:15)
Kama kanisa halitaki mwenye dhambi basi hilo litakuwa siyo kanisa la Mwenyezi Mungu.
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.
Hata shetani hamtaki huyo sitta! Ameshamtenga.
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Kanisa lenyewe analo sali sita ni lawachumia tumbo/watoza ushuru,hawana jeuli hiyo,si mmeona leo wale watoza ushuru wa vikanisa vya mfukoni na wale waganga njaa wa Bakwata walikusanywa na maccm uwanja wa Taifa eti kucheza mpira.