ushoroba wa kati
Member
- Aug 12, 2019
- 88
- 98
"]Nakusalimu boss..Mkuu Kamundu, kwanza nikurekebishe, hakuna yoyote aliyetaka ushindi wa asilimia 100%, na hata ule ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sio CCM ndio waliotaka, bali ni wananchi ndio waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo hata uchaguzi Mkuu wa October, CCM haijichagui bali inakuja kwetu sisi wananchi ndio tunaichagua kwa hiari yetu katika uchaguzi huru na wa haki kwa ule ule mtindo wa unachukua..., unaweka...waaah! bila kujalisha how, na matokeo ya mwisho yanakuwa determined na the end justifies the means.
P
Kama ujipambanuavyo humu kwa mada zako za "kiuchunguzi" ,
sidhani kama haujawahi kuiona/kuziOna barua za makatibu wa wilaya(ccm) kwenda kwa makatibu wa kata(ccm) katika chaguzi ndogo zilizopita kuwataka wachukue nafasi hizo kwa 100% huku wakiwahakikishia kila kitu huko juu washakiratibu..
Sent using Jamii Forums mobile app