Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Je VP kwa wale tulip Zanzibar hakuna ma agent wenu huku had I tuje dar?
Kwa walio nje ya Dar tunatuma System Package nzima kwa basi kwa walio mainland, na kwa boti kwa visiwani.
Inabidi uwe na fundi wako sanifu kwa ajili ya installation
 
Ahsante kwa maoni mkuu
Tutajitaidi kutengeneza package ya kati iwafikie watu wengi zaidi

Ntashukuru sana, usinielewe vibaya lakini mimi hapa nilikuwa natoa angalizo - kama umesomeshwa bure ni Taifa hili una wajibu wa kuwasaidia Watanzania wenzako - pata faidi kiasi siyo ya kuvuka mipaka uzalendo una matter zaidi kuliko kitu chochote - je makampuni yamitandao wakisema hawataki mpitishe mawasiliano ya vifaa hivyo kwenye network zao mtakuwa wageni wa nani, je mtatumia VPN ili mitandao hisijuwe kinacho endelea nyuma ya pazia na kwa gharama gani kwa vifaa vyenyewe kujaribu ku-tinker around navyo - will it be worthy it? Je, mtanunua radio zenu za kusambaza mawasiliano kwa mfumo wa GSM/LTE/CDMA, je,TCRA inaweza kuwapa liseni kweli? Bottom line is: kazi yenu ni ndogo sana i.e mna install/configure lakini the Donkey job inakuwa facilitated/wezeshwa na makampuni ya simu Nchini consequently mnapaswa kuwa fair kwenye charges zenu. CHEERS.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Ntashukuru sana, usinielewe vibaya lakini mimi hapa nilikuwa natoa angalizo - kama umesomeshwa bure ni Taifa hili una wajibu wa kuwasaidia Watanzania wenzako - pata faidi kiasi siyo ya kuvuka mipaka uzalendo una matter zaidi kuliko kitu chochote - je makampuni yamitandao wakisema hawataki mpitishe mawasiliano ya vifaa hivyo kwenye network zao mtakuwa wageni wa nani, je mtatumia VPN ili mitandao hisijuwe kinacho endelea nyuma ya pazia na kwa gharama gani kwa vifaa vyenyewe kujaribu ku-tinker around navyo - will it be worthy it? Je, mtanunua radio zenu za kusambaza mawasiliano kwa mfumo wa GSM/CDMA, je,TCRA inaweza kuwapa liseni kweli? Bottom line is: kazi yenu ni ndogo sana i.e mna install/configure lakini the Donkey job inakuwa facilitated/wezeshwa na makampuni ya simu Nchini consequently mnapaswa kuwa fair kwenye charges zenu. CHEERS.
Asante kiongozi kwa maoni
Tunayafanyia kazi
 
anyone else interested
Huduma bado inaendelea
Package mpya imekuja

500,000/-


Kila Kitu kasoro No. 4 , No.9 na No.10 tajwa apo juu
Kinapatikana
Karibuni
 
****DHUMUNI LA MFUMO****


1. Kuwasha/ kuzima vifaa vya umeme mf: taa, a/c, friji , feni, kwa kutumia SMS ya simu yako.


2. Kuweza kupata feedback SMS baada ya taa kuwaka/kuzima.


3. Kuweza kupata listi ya vifaa gani vimewaka/zima kwa kutumia SMS.


4. Kuweza kuseti mda gani taa iwake au izime yenyewe automatically kwa kutumia SMS.

mfano: unaseti 19:00 taa iwake saa moja usiku, 06:00 izime saa 12 asubui, kila siku


5. Mfumo huu hutumia SMS tu , hautumii INTERNET.


6. Simu aina YOYOTE inaweza kufanya control mf: Nokia ya Tochi, Smartphone, n.k


7. Mfumo huu hutumia line ya simu ya mtandao wowote ULE kukamilisha adhma zima.

ie: utachagua mtandao ambao una Excellent Signal Quality kwa eneo uliopo.


8. Mfumo huu ni wa njia 8 utachagua vifaa vipi viungwe katika mfumo.


mathalani: njia1 = friji , njia2 = A/C , njia3 = feni , njia4 = taa za nje , njia5 = taa za sitting room , n.k , vyote vikiwa HAVITEGEMEANI


9. Mfumo huu pia hukuwezesha kutumia swichi zako za ukutani kama kawaida pale utakapoishiwa na SMS katika simu. (2 WAY CONTROL TO ENHANCE FLEXIBILITY)


10. Mtumiaji ana uwezo wa kuseti Security Preferences , namba zipi ziruhusiwe kufanya control ili kuzuia 'Hacking'.





**PRODUCT/SERVICE PRICING**


> Kwa nyumba ya kawaida ( isiyozidi mita 35 x mita 35 ) ni Tshs. **800,000/-** ( Complete package + Installation + Android App )

> Kwa nyumba iliyozidi kipimo tajwa hapo juu , maongezi yatafanyika kupata package maalum.

> Kwa pricing iyo (800,000/-) unaunganishiwa njia zote 8 pamoja na kupewa App special (kwa watumiaji wa Android watakaopenda)

> Hii App ni kwa watumiaji wa Smartphone , kama huna Smartphone utatumia mfumo wa kawaida wa kutuma SMS.



NOTE: > Ikumbukwe mfumo huu hutumia SMS tu na si INTERNET.

> Aina yoyote ya simu itatumika sio lazima SMARTPHONE.

> Huduma ya kuwasha na kuzima kwa SMS ni pahala popote/umbali wowote ule.

> Garantii ya mfumo mzima ni MIAKA 2.






Kwa Mawasiliano zaidi tafadhali


0625 598 055 Call and SMS


0712 163 248 WhatsApp


Automation Engineer


Tunapatikana Dar Es Salaam , Makumbusho


KARIBUNI



View attachment 515099 View attachment 515099
iko vyema mkuu, je mfumo wake unakuwa na mkusanyiko wa ma-wire ring mengi, ikimaanisha nyumba inafanyiwa wire ring nyengine?
 
iko vyema mkuu, je mfumo wake unakuwa na mkusanyiko wa ma-wire ring mengi, ikimaanisha nyumba inafanyiwa wire ring nyengine?
Mfumo unaingizwa katika Wiring yako
Amna wiring ya pili
Karibu
 
Mbona vitu hivyo vimapatikana kirahisi kwenye mitandao - wanakuonyesha jinsi ya kuvifunga - bei zake ni rahisi kabisa!! Fanyeni vitu vya kuwasaidia Watanzania wenzenu na sio kupenda penda ku-rip off waswahili wenzenu kwa kuwa wako ignorant - mgekuwa mnavihunda nyinyi sawa lakini kila kitu kinatoka Uchina kwa bei ya kutupa kabisa - siwasemi vibaya ila mna justification gani ya kucharge watu laki nane?

Acha wivu na roho mbaya bro! Post kubwa umeweka hapo juu..lakini hujatupa hizo details you claim. Learn to appreciate nguvu za wenzako. Hivi waTanzania tukoje jamani..kila siku kukatishana tamaa? Mpaka inakera! No wonder kila siku ulalamishi wa maisha magumu hauishi! Ni wa sababu ya watu kama nyinyi. Personally huu uzi umenibariki sana.

Mkuu keep up the good job. People like you are the true future of Tanzania and Africa. Usikatishwe tamaa na wenzetu waliozoea kulalamika bila solution za maisha.

Mda muafaka ukifika nitawatafuta. I suggest muanzishe hata website yenye information za kutosha kusudi iwe rahisi hata kwa wale wasioweza kuja hapo ofisini kupata huduma.
 
Acha wivu na roho mbaya bro! Post kubwa umeweka hapo juu..lakini hujatupa hizo details you claim. Learn to appreciate nguvu za wenzako. Hivi waTanzania tukoje jamani..kila siku kukatishana tamaa? Mpaka inakera! No wonder kila siku ulalamishi wa maisha magumu hauishi! Ni wa sababu ya watu kama nyinyi. Personally huu uzi umenibariki sana.

Mkuu keep up the good job. People like you are the true future of Tanzania and Africa. Usikatishwe tamaa na wenzetu waliozoea kulalamika bila solution za maisha.

Mda muafaka ukifika nitawatafuta. I suggest muanzishe hata website yenye information za kutosha kusudi iwe rahisi hata kwa wale wasioweza kuja hapo ofisini kupata huduma.
Ahsante mkuu kwa ushauri/maoni
Tutajitahidi kufanikisha yote hayo

BTW mikoani tunafika
 
Acha wivu na roho mbaya bro! Post
Mda muafaka ukifika nitawatafuta. I suggest muanzishe hata website yenye information za kutosha kusudi iwe rahisi hata kwa wale wasioweza kuja hapo ofisini kupata huduma.

Wewe akili zako zina walakini si bure!! Muhusika amesema amenielewa kuna vitu atarekebisha - he knew nilicho maanisha - wewe mtu baki ndiyo unajitia kuhamaki - halafu ulivyo mpuuzi eti kwa nini siwapi address vifaa hivyo vinapo patikana - sasa wewe na mimi nani anataka kumwaribia biashara mwenzake? Kujidai kutoa machozi ya mamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom