Hii huduma ni lazima uwe eneo husika? Kama ndio jitahidini ifanye kazi mtu akiwa hata mbali na nyumbani aweze washa taa zake hususani pale anapochelewa kurudi nyumbani na anaishi peke yake
Amna garama ya kila mwezi, amna garama ya kujirudiarudia , hii ni sawa na wiring ya nyumba yako, you do it ONCE ,Itakuwa nzuri sana.Swali langu gharama za kila mwezi ni kiasi gani? Au hiyo package ikiisha ndo unalipia? Na je package hiyo ina uwezo wa kukaa muda gani approximately?
swali zuriHii nimeipenda, hongereni sana.
Inamaana 800,000/= ndio bei ya kuanzia hata kama hautumii njia zote 8? Kwa mfano nikiunga taa za ndani na za nje peke yake inamaana ntatumia njia 2, bado ntatoa hiyo hiyo laki 8?
Ahsanteni kwa ubunifu.