Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

huduma bado ipo
Je, mfano nyumba ipo kigoma na mimi nipo mtwara alafu nikatuma sms umeme uka pita vizuri kwenye mfumo ila kifaa kina tatizo je mfumo utanitarifu kwamba kule nyumbani umeme upo ila kifaa kinaitilafu fulani au taa imeunguwa? Je iyo simu itakayo baki kigoma kwa ajili yaku washa na kuzima mfano ikaondolewa kwenye mfumo na mwizi au ikakosa umeme je itanipa taarifa kwamba saivi sipo kwenye mfumo? au saivi sipati umeme nitazima baada ya muda fulani?
 
jibu la swali1
kama umewasha, na taa/kifaa kikawaka, utaletewa sms KIFAA kipo ON, kama taa/kifaa hakijawaka na uli command kuiwasha, utaletewa sms, KIFAA kina TATIZO,
haitotaja ni tatizo gani, ni kukujulisha tu kama ni taa may be imeungua, au yawezakua imechomolewa(imetolewa from its holder)

jibu la swali2
system inakaa juu ya ceiling,(darini) sidhani kama kuna mtu atafikia huko,

jibu la swali 3
hii huduma inatumia sms, kama umeme uko kigoma amna, ukituma sms maana yake hutapata 'delivered' wala hutajibiwa, ni sawa uitumea sms simu iliyozimwa hutapata 'delivered' message,

umeme ukirudi tu, meseji yako itasomwa na kifaa husika kitawaka/kuzima

AU waweza tumia special channels ambazo zipo 2 katika package, apa utakua unaset mda wa ON/OFF , then mambo yanafanya yenyewe
 
Mkuu upo? Hii teknolojia hata mimi imenivutia sana, nawaza jinsi gani inaweza kutumika kwenye maeneo mengine pia. Kwa kweli imekaa vizuri sana.
tuna iextend kwa ajili ya Industrial M2M and IoT applications na soon katika sekta ya kilimo
 
tuna iextend kwa ajili ya Industrial M2M and IoT applications na soon katika sekta ya kilimo

Safi sana mkuu, uvumbuzi na ubunifu wa aina hii ni chachu muhimu sana kwenye maendeleo.
 
very good,na mikoani mnafika?
Kuna options 2

1. Tunatuma mwakilishi mmoja aje uko
-hapa uta incurr transport fees

2.Tunatuma System Package kwa njia ya basi
-Hapa utaitaji uwe na fundi wako (awe FUNDI SANIFU wa umeme- awe na diploma)
 
800,000! ,haya wenye uwezo wao

Ni kweli 800,000/= inaweza kuonekana nyingi ukizingatia nyakati tulizonazo lakini faida na manufaa ya hii kitu ni makubwa mno.

Naamini iko siku utakuwa kwenye nafasi na wewe kuwa mwenye uwezo. Hata hivyo kupata wazo au kujua jambo haimaanishi utafanya utekelezaji sasa hivi ila inakupa pa kuanzia unapotaka kufanya mambo yako siku za usoni.

Hata mimi sio kwamba nafunga sasa hivi, lakini tayari kichwa kimeshapata wazo jipya na nnaangalia namna gani naweza kuweka ikaleta tija.

Nikutakie siku njema mkuu
 
Tanzania tunaweza safi sana mkuu nakuja makumbusho hapo next week nadhan now nipo mkoani
 
Ni kweli 800,000/= inaweza kuonekana nyingi ukizingatia nyakati tulizonazo lakini faida na manufaa ya hii kitu ni makubwa mno.

Naamini iko siku utakuwa kwenye nafasi na wewe kuwa mwenye uwezo. Hata hivyo kupata wazo au kujua jambo haimaanishi utafanya utekelezaji sasa hivi ila inakupa pa kuanzia unapotaka kufanya mambo yako siku za usoni.

Hata mimi sio kwamba nafunga sasa hivi, lakini tayari kichwa kimeshapata wazo jipya na nnaangalia namna gani naweza kuweka ikaleta tija.

Nikutakie siku njema mkuu
Insha Allah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom