Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Karibuni kwa haduma bora
Negotiations inbox please
 
Karibu tukufungie huduma
Maongezi yapo
 
Mimi ninataka kwaajili ya kucontrol security light na security cameras, electric fence and perimeter motion sensor.
In security principles, CCTV & motion sensors(intruder alarms) are normally fully powered. Kwa system hii kuzicontroll hizi kwa on/off ni useless, unless ni za maonyesho.
 
hii inanifaa sana kwa security...bila shaka wezi tutawakamata..akuwasha tu taa napata ujumbe kuwa kuna mtu kawasha taa ya stooo
 
In security principles, CCTV & motion sensors(intruder alarms) are normally fully powered. Kwa system hii kuzicontroll hizi kwa on/off ni useless, unless ni za maonyesho.
lengo langu sio kuzi control katika on and off, ila nataka kupata taarifa pindi mtu anapo cross over perimeter, kisha automatic nipate image za area from CCTV kwenye eneo specific ambapo sensor imeditect intruder ili niweze ku deploy automated defence action according to the type of threat.
 
Mkuu huu zimaji/Uwashaji ni ule unaofuata utaratibu? Mimi si mtaalamu wa mambo hayo ya umeme, ila kwa uelewa wangu wa kawaida Mfano TV, radio, Desktop computer huwa haishauriwi uzime kwenye switch direct, sasa Hofu yangu ni kwamba uzimaj/uwashwaji unafuata utaratibu kama inavyoshauriwa? Pili je huo uwashwaji/Uzimaji unadeal na socke tu au ni kifaa husika moja kwa moja
Yaani simply ni kwamba kwa kifaa hicho unaposema kuwasha una maanisha kwamba kama ni computer/TV itawaka kabisa? Mfano nipo mbali nimesema Computer iwake, je itawaka kiasi kwamba naweza kumwambia mtu sasa aingize password ili aweze kuendelea kutumia hiyo computer? na kama ni TV je itawaka kiasi kwamba itaanza ku-display kabisa? Kwa uapande wa Taa sina shaka. Naomba kuwasilisha
 
hii huwasha na kuzima socket husika, socket ya friji, a/c kulenga hasa kupunguza bills za umeme pale unapotaka kuzizima remotely
mf: umeme umekatika na a/c ilikua on, umeme ukirudi na pia uko kazini , waweza tuma sms kuizima
friji, apa kuweza ku adjust on/off time ya friji pale unapotaka bana matumizi ya umeme , kwa kutumia sms,
ni kweli non-linear devices kama laptop, desktop zisihusishi maana zina couple of few steps katika uwashaji/uzimaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom