tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,776
BAdala ya kuhangaika kutafuta maisha nyie kutwa mnamuwaza ndomo, mijitu mingine ina familia kutwa kumsifia ndomo kazi hawataki kufanya, mbwa kabsa nyie
Ahahahaha!!warumi anavisa kidogo sasa!wakati yeye mwenyewe bingwa humu ndani mpaka amepewa uenyekiti!
Promo ya bure kabisaNi furaha kusoma waliyoandika
Mmarekani kaondoa zile posts zake, promo imetoka bure hadi raha.
Nimemtumia kiroba cha ndimu zikishindwa kazi aende hosp akapime labda ana minyoo alizentel itamhusu kumaliza kichefuchefu
Promo ya bure kabisa
Heheheheeeeeeeee!!Masanja wangu muongoze H-bibi na maadui wote wa Platinumz sala ya TOBA maana wanachukia kilichobarikiwa na mungu!!hawajui walitendalooo Dinazarde ukuye fasi hii mama!!
am just saying!!!!!!!!!!!!
Huyo jamaa aelewe:
Kwani H baba ndio nani jamani mbona mie simjui?
duuh hivi diamond kawakosea nini Hawa watu,... maana Kama ni chuki this is too much,,,
Kosa lake kuwafunika wasanii wenzake;kwa mshiko,kwa kushine,kwa show za out,kupendwa sana,totoz kali,kuitwa Ikulu na Nyotaaaaaaa yaan Dai ni shideeeeeeer!
Hahahahahahhaahahaaaaaaa