Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Love huyo barnaba pamoja na kusomea mziki lakini amefanya nini cha maaana???
Ila kwa wewe ngoja nsiongee sana usije ninyima bureeee...
 
Afu nishakuambia ukiendelea kumsifia domo asiyejua kitu nitakunyima unyumba sasa endelea
 
Ulisema nsimdisi madame..bhanaaa...
Hawa wengine halali yangu

Basi na shemeji yako kiba mpotezee ukimdis hata kukabidhi mke....hao wawil tuu chonde chonde madam na king
 
BAdala ya kuhangaika kutafuta maisha nyie kutwa mnamuwaza ndomo, mijitu mingine ina familia kutwa kumsifia ndomo kazi hawataki kufanya, mbwa kabsa nyie
 
ha ha ha yamekua haya? ukitembelea celebrity forum katika post kumi za udaku basi 7 zimepostiwa na wewe warumi,leo kulikoni umekuja na hii comment?
 
Last edited by a moderator:

Ahahahaha!!!mi nimeshakalia kiti cha muhindi zamaani!!lakini cha kwanza ni kuangia.JF kupata umbea!eheheeenh!!
 
Kapigeni kura,acheni mboyoyo.msije lia lia tena.
 
ha ha ha yamekua haya? ukitembelea celebrity forum katika post kumi za udaku basi 7 zimepostiwa na wewe warumi,leo kulikoni umekuja na hii comment?

Ahahahaha!!warumi anavisa kidogo sasa!wakati yeye mwenyewe bingwa humu ndani mpaka amepewa uenyekiti!
 
Last edited by a moderator:
BAdala ya kuhangaika kutafuta maisha nyie kutwa mnamuwaza ndomo, mijitu mingine ina familia kutwa kumsifia ndomo kazi hawataki kufanya, mbwa kabsa nyie

Wewe nawe si ni jobless, kazi kutafuta umbea GPL kuja kutupestia humu. Ame kweli nyani haoni....
 
Mwenzio nipo kazin nalipwa, wewe je? Umbea masaa 24 ndomo ndomo mxiuuu atawaoa shaur zenu
 
Dogo kawakamata vibaya #TeamMaviKiba masikini hawahemi.Kuna Jamaa anaitwa H.Baba huwa simuelewi kwa kutaka umaarufu kupitia kwa diamond.Ni bora akubali kuwa diamond sio size yake kabisa,H.baba size yake ni Best Naso.
 
Mwenzio nipo kazin nalipwa, wewe je? Umbea masaa 24 ndomo ndomo mxiuuu atawaoa shaur zenu

Nani akulipe kwa kupesti? Acha kutudanganya dogo, anyway mi sio mbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…