C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,281 May 24, 2015 #41 Hiyo mipasho siyo ya mwanaume itakua kaandikiwa na mke wake.
M matenene JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 477 Reaction score 158 May 24, 2015 #42 Huyo ni mwanamuziki mkubwa sana, show zake nyingi hufanya nje ya nchi hasa Mombasa, Lamu, Malindi na Oman. Hapendi show za ndani michosho.
Huyo ni mwanamuziki mkubwa sana, show zake nyingi hufanya nje ya nchi hasa Mombasa, Lamu, Malindi na Oman. Hapendi show za ndani michosho.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,119 Reaction score 48,304 May 24, 2015 #43 Katika page yake ya IG msanii maarufu wa comedy amesifia nguli wa muziki nchini Tanzania kwa sasa Diamond platinum..kwa juhudi kubwa anazozifanya katika mziki.. Vile vile amewaasa wasanii wengine kujifunza kutoka kwake na sio kujenga bifu za kijinga Attachments 1432492857241.jpg 56.8 KB · Views: 986
Katika page yake ya IG msanii maarufu wa comedy amesifia nguli wa muziki nchini Tanzania kwa sasa Diamond platinum..kwa juhudi kubwa anazozifanya katika mziki.. Vile vile amewaasa wasanii wengine kujifunza kutoka kwake na sio kujenga bifu za kijinga
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,396 Reaction score 14,248 May 24, 2015 #44 Kwa akili hizi hao wapopo wataendelea kutukalisha daima,wivu,chuki na unafiki ndo magonjwa yanayotusumbua watz.
Kwa akili hizi hao wapopo wataendelea kutukalisha daima,wivu,chuki na unafiki ndo magonjwa yanayotusumbua watz.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,119 Reaction score 48,304 May 24, 2015 #45 Salam kwa h baba Attachments 1432494134796.jpg 56.5 KB · Views: 934
K Kidingi JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 1,872 Reaction score 1,832 May 24, 2015 #46 ye ndio chuo kwani kuna anaebisha???? kama yupo please kufwa gademu for president in lemutuz voice
pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,272 Reaction score 3,091 May 24, 2015 #47 msanii wa nchi huyu anawatoa sana povu mapimbi
Mchiwa Ng'ambaku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 959 Reaction score 803 May 24, 2015 Thread starter #48 Ushauri mzuri sana huu Masanja nadhani wamekusikia.
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,418 Reaction score 82,410 May 24, 2015 #49 Attention seekers @ work. ...
E elly balosha Member Joined Mar 25, 2015 Posts 8 Reaction score 2 May 24, 2015 #50 yupo kwenye ubora wake
Mchiwa Ng'ambaku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 959 Reaction score 803 May 24, 2015 Thread starter #51 nifah said: Attention seekers @ work. ... Click to expand... Nani huyo Masanja au mtoa mada😕
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,418 Reaction score 82,410 May 24, 2015 #52 Mchiwa Ng'ambaku said: Nani huyo Masanja au mtoa mada😕 Click to expand... Nilijua tu lazima utaniquote...khaaaa! Masanja,mtoa mada simjui.
Mchiwa Ng'ambaku said: Nani huyo Masanja au mtoa mada😕 Click to expand... Nilijua tu lazima utaniquote...khaaaa! Masanja,mtoa mada simjui.
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,671 May 24, 2015 #53 Dah ngoja nipite tu, stress mbaya
E elly balosha Member Joined Mar 25, 2015 Posts 8 Reaction score 2 May 24, 2015 #54 Dogo anawatesa sana watu, lkn siku zote ili uwe huru inabid ukubari ukweli. la sivyo utaumia Sana. ukweli dogo yupo kwenye ubora wake ilo halijifichi.
Dogo anawatesa sana watu, lkn siku zote ili uwe huru inabid ukubari ukweli. la sivyo utaumia Sana. ukweli dogo yupo kwenye ubora wake ilo halijifichi.
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,894 Reaction score 19,776 May 24, 2015 #55 nifah said: Nimefurahi ndio maana nimecheka. Kama sisi zetu kupiga kura nyie mnatokwa povu, Kiba akishinda hadi JF mnaikimbia! Click to expand... HBaba atakua anawashwa kuleee anatafuta m2 wa kumkuna......huyo jamaa cjui huwa anaimba nini mwanaume unajicream unajifanya mcongo,pumbaafu zake
nifah said: Nimefurahi ndio maana nimecheka. Kama sisi zetu kupiga kura nyie mnatokwa povu, Kiba akishinda hadi JF mnaikimbia! Click to expand... HBaba atakua anawashwa kuleee anatafuta m2 wa kumkuna......huyo jamaa cjui huwa anaimba nini mwanaume unajicream unajifanya mcongo,pumbaafu zake
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,784 May 24, 2015 #56 Watu wenye akili za maendeleo utawajua tu" big up masanja kwa kuona ukweli
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,999 Reaction score 2,582 May 24, 2015 #58 Hivi aliyeandika hiyo post IG ni me/ke???
M Msolopagaz JF-Expert Member Joined Jan 29, 2014 Posts 461 Reaction score 212 May 24, 2015 #59 Dah ila NASSIB ni mwiba wa chuma aloo
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,768 May 24, 2015 #60 25-MAY-2015 LE-MUTUZ ROPER ROPE - USA ************************************************** 24-MAY-2015 MASSANJA MKANDAMIZAJI LE-MUTUZ JENNISTA BLOG LINAH SANGA DIDA :- Attachments jenista_dangote.jpg 38 KB · Views: 3,617 lemutuz_dangote.jpg 61.8 KB · Views: 3,652 lemutuz2_chibu.jpg 73 KB · Views: 297
25-MAY-2015 LE-MUTUZ ROPER ROPE - USA ************************************************** 24-MAY-2015 MASSANJA MKANDAMIZAJI LE-MUTUZ JENNISTA BLOG LINAH SANGA DIDA :-