Wasanii waungaana na kupaza sauti kuiomba serikali ihakikishe Roma anapatikana

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamii forum

Salaam




Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini kwa pamoja wameungana na kuviomba vyombo vya usalama nchini kufanya juhudi za kumtafuta msanii mwenzao ROMA Mkatoliki na wenzake wanaodaiwa kutekwa na kupelekwa kusikojulikana.

Wasanii hao, leo wamekutana COCO Beach na kulaani kitendo cha Roma kutekwa, huku wakiitaka serikali iwasaidie kumtafuta na kumpata akiwa salama.
 
"Shida,taabu na mateso vikizidi, watu husau tofauti zao na kuwa kitu kimoja.

"Asiefunzwa na UKAWA,hufunzwa na CCM."
 
Back
Top Bottom