and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Kwa nini umewaza na kutueleza hivyo?Na kwa nini fungu litengwe kwa ajili yao na wasioneshe uzalendo kwa kufanya kazi for free?Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Hili kundi limekua bega Kwa bega na Chama wakati wote hivyo watengewe fungi maalum kama shukrani.Kwa nini umewaza na kutueleza hivyo?Na kwa nini fungu litengwe kwa ajili yao na wasioneshe uzalendo kwa kufanya kazi for free?
Hahahah, ipo siku watakayoadhibiwa kwa kuambatana na madhalimuHili kundi limekua bega Kwa bega na Chama wakati wote hivyo watengewe fungi maalum kama shukrani
Chama kipi?Kwa hiyo unataka watengewe ruzuku?🤔Hili kundi limekua bega Kwa bega na Chama wakati wote hivyo watengewe fungi maalum kama shukrani
Watanganyika hamna huo ubavuHahahah, ipo siku watakayoadhibiwa kwa kuambatana na madhalimu
NaamChama kipi?Kwa hiyo unataka watengewe ruzuku?🤔
Wewe Mlugaluga ni nani aliyekuloga?Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Bajeti maalum itengweWewe Mlugaluga ni nani aliyekuloga?
Siye twamuachia Mola yakheeWatanganyika hamna huo ubavu
hakuna haja,Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Noma sana!Hahahah, ipo siku watakayoadhibiwa kwa kuambatana na madhalimu