Wasanii watano (5) greatest of all time

Hawa ndio wasanii 5 wa Hip hop bora wa muda wote

1. Afande sele- Rhymes king namuita genious
2. Proffesor jay- Real life bars legend
3. Fid Q- Analytical and critical thinker
4. Sugu- Activist / Hustler
5. Nick Mbishi - with this guy rap is always easy

Nipe yako

6. jay moe
7. Mwana fa
8. Darassa
9. Ay
10. Solothang
 
Sugu kwa lipi? Nikki mbishi kwa lipi?

Afande sele nae ni utopwenga tu.

Fid q na prof jay ndio mpango mzima

Yakwangu hii hapa:-

1.Prof J
2.Fid q
3.Mwana FA
4.AY
5.Mr. blue aka babylon bizzy
Yani kabisa wanaume tunaongelea hip hop, wewe unamtaja AY? Uko serious?

AY ni rapa tu kama wale wa Akudo impact na FM academia. Tutawaongelea siku nyingine. Leo tunaongelea wana hip hop!
 
1. Fareed Kubanda (Fid Q).
MC unaemkubali wewe, yeye anamkubali Fid Q. He's the most complete MC kwenye bongo fleva. Angalia lyrics, angalia flow, angalia punchlines, angalia hitsongs. Mimi nampa namba moja.

2. Professor J.
Huyu ndie yule MC aliewashawishi wazazi wako wakuruhusu uimbe. Professor ndie aliebadilisha fikra za wazee wetu kwamba unaweza kua msanii na usiwe muhuni. Hitsongs kama zote, mashairi yenye ujumbe mzito, pia katoka gheto mpaka mjengoni, huyu ni role model kwa wasanii karibia wote wa kizazi hiki. Mimi namuweka hapo.

3. Afande sele.
Huyu ndie mtu pekee aliemshinda professor J na kuchukua tuzo ya mkali wa rhymes. Ukiongelea nyimbo zenye ujumbe, hapa ndio mahala pake. Tola mkuki moyoni mpaka Mtazamo, ni moto wa kuotea mbali. Sababu pekee ya kumuweka chini ya Professor J, ni lifestyle yake (bange sana), pamoja na influence (hakufikia level ya influence ya professor J)

4. Chidi benz na Joh makini.

Hawa nawaweka nafasi moja hapo. Joh Makini wa "Niaje ni vipi", higher, hao, show za Joh na kadhalika. Uwezo wake wa kubadilika badilika unamfanya kua rapper wa kipekee kabisa. Sio rapper ninae mkubali, ila anastahili kua hapo. Kuhusu Chid benzino, unamuongelea MC mwenye flow ya kipekee kabisa. Daresalaam stand up, ni moja kati ya ngoma bora kabisa za hip hop kuwahi kutokea kwenye bongo fleva. Namuweka hapo pia.

5. Roma mkatoliki na Nikki Mbishi.

Nikki mbishi ndio baba wa new generation hip hop of bongofleva. Aliipa jina hip hop ya "kikristo" baada ya kutamba na Play boy na Kila siku. Huyu ndie freestyle beast alietesa baada ya Ngwea. Wasanii kama One the incredible, young killer, stamina na Darassa walihit baada ya kupita kwenye footsteps za huyu jamaa. Siku hizi anazingua sana, ila ndio hivyo you can't stay fresh forever.
Kuhusu Rhymes of Magic Attraction (ROMA), kila mtu anajua uwezo wake. Influence ya muziki wake kwenye siasa za nchi yetu ni exceptional. Enzi zake ukimuanzisha kwenye show, akishuka jukwaani basi watu wanatawanyika. Mimi namuweka hapo pia.

Honorary Mentions.

  • Juma Mchopanga (J Mo) mzee wa story tatu
  • Ulamaa/Traveller (Solo Thang)
  • Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
 
sahihi mkuu ila kwa joh makini nina dought
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom